• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

DC MWANZIVA AONGOZA KIKAO CHA MAPOKEZI YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU.

Imetumwa: March 19th, 2025


Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Victoria Mwanziva ameongoza kikao Cha Maandilizi ya mapokezi ya mbio za mwenge wa Uhuru Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mwaka 2025.

Akiongea na wajumbe wa kikao hicho kilichofanyika  Machi 19, 2025 katika uwanja Ilulu DC, Mwanziva amesisitiza ushirikishwajwi wa Wananchi pamoja na makundi mbalimbali Kwenye Jamii kuhusiana na masuala ya mwenge. 


Aidha DC Mwanziva ametoa maelekezo kwa watendaji wa kata na vijiji kuhakikisha wanasimamia vizuri fedha za michango ya mwenge kutoka Kwa wadau na kuzifikisha sehemu husika.

Naye Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi Mhe. Frank Magali amewapongeza wajumbe wa kikao hicho Kwa kujitokeza kwa wingi kwenye kikao hicho muhimu ambacho kimetumika katika kujadili na kuleta mwanga kuelekea mapokezi ya mbio za mwenge, lakini pia amewaomba wajumbe hao kuendelea kujitokeza katika vikao vijavyo.

Akisoma taarifa ya miradi pendekezwa ambayo itapitiwa na mbio za mwenge wa Uhuru Kwa mwaka huu, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi Dkt. Stanford Mwakatage amesema miongoni mwa miradi hiyo ni pamoja na Ujenzi shule ya Msingi stadium wenye thamani ya shilingi 334,600,000.00, Ujenzi wa kituo Cha mafuta Cha buti kilichopo Ngongo chenye thamani ya shilingi 2,230,000,000.00, kuweka jiwe la msingi mradi wa Maji Runyu kitomanga, kuweka jiwe la msingi jengo la NHIF kata ya Rasbura wenye  thamani ya shilingi 60,737,000.00. kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Bara bara Kwa kiwango Cha lami kuelekea shule ya Sekondari Lindi Wasichana kata ya Kilangala wenye thamani ya shilingi 1,390,525,885.00. Mradi wa kikundi Cha mapambo (Salumu Decoration) kilichopo fisi wenye thamani ya shilingi 20,000,000.00 mapato ya ndani. Kutembele kikundi Cha uhifadhi na utunzaji wa mazingira shule ya Msingi Mnazi mmoja 'B' pamoja na Ujenzi wa nyumba ya Mkurugenzi kata ya Rasbura.

Ikumbukwe kuwa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi inategemea kupokea mbio za Mwenge wa Uhuru kutoka Halmashauri ya Mtama  Mei , 27, 2025.

Kauli mbiu ya mwenge wa Uhuru mwaka 2025 inasema 

"Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa amannI na Utulivu".

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UANDIKISHAJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI.

    May 17, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI MANISPAA YA LINDI LIMEANZA LEO MEI 16,2025.

    May 16, 2025
  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa