• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

BILIONI 56 ZATENGWA KWA AJILI YA MRADI WA LNG.

Imetumwa: June 20th, 2021

Waziri wa nishati Mheshimiwa Medard Kalemani amezungumza hayo alipokuwa katika mkutano wa uhamasishaji kwa wadau kuhusu mradi wa gesi asilia iliyosindikwa kuwa kimiminika(LNG) leo tarehe 20 juni 2021 uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Sea View Hotel.Ameyasema hayo kuwapa mwelekeo wa mradi huo na kuonyesha ni kwa jinsi gani serikali inafanya kwa kasi utekelezaji wa mradi huo,Kwa kuongezea Mheshimiwa waziri ameelezea juu ya upatikanaji wa umeme vijijini na kwamba serikali imetenga kiasi cha fedha shilingi Trilioni moja kuhakikisha vijiji vyote Tanzania vinapata umeme ambapo kazi ya utekelezaji imeanza  mwezi wa tatu na itachukua miezi kumi na nane kukamilisha kazi hiyo.Pia waziri ameagiza uwekwaji wa mikapa kuzunguka eneo la mradi ili kuepusha uvamizi wa eneo husika na ameagiza zoezi hilo kufanyika haraka na isizidi mwezi mmoja liwe limekamilika.

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la maendeleo ya petrol na gesi Dkt James Mataragio alipata wasaa wa kuuelezea mradi huo wa gesi ambao utatekelezwa katika kijiji cha Likong’o  ambapo wanakijiji waliokuwa kwenye eneo la mradi wameshalipwa stahiki zao ili kupisha utekelezaji wa mradi huo.Pia alielezea faida za mradi wa gesi ambazo ni upatikanaji wa malighafi za viwandani,kukua kwa uchumi wa mkoa,wananchi na taifa kwa ujumla,kuleta ajira wazawa ambapo watu 15000 wataajiriwa wakati wa ujenzi na 5000 wakati wa uendeshaji,kupanuliwa kwa bandari na viwanja vya ndege,fedha za kigeni na kujenga ushirikiano.Vile vile alitoa ufafanuzi pia kuhusu mradi umeme majumbani ambapo amesema kazi ya utekelezaji ilikwama kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Covid 19 lakini kwa sasa mradi unatekelezwa na nyumba zipatazo 200 Mnazimmoja na 300 Lindi Mjini zitavutiwa umeme huo.

 Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa ambaye ni Mkuu wa Wilaya Ndugu Shaibu Ndemanga amemshukuru waziri wa nishati na serikali kwa ujumla kwa juhudi kubwa wanazozionyesha katika kutekeleza mradi wa gesi huku akigusia utaratibu mzuri uliofanyika katika ulipaji fidia kwa wananchi.Anasema pia kuwa serikali imetoa nafasi kadhaa kwa ajili ya mafunzo ya uchakataji gesi ambapo gharama za mafunzo hayo 95% yatagharamiwa na serikali,mafunzo hayo yanatarajiwa kuanza kwa mwaka wa masomo 2021/2022.

                                                            Waziri wa nishati akihutubia kwenye mkutano wa LNG.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UANDIKISHAJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI.

    May 17, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI MANISPAA YA LINDI LIMEANZA LEO MEI 16,2025.

    May 16, 2025
  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa