• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

WAZIRI ULEGA ATAKA WALIMA MAZAO YA BAHARI WAWEZESHWE.

Imetumwa: March 1st, 2022

Naibu waziri wa mifugo na uvuvi mheshimiwa Abdallah Ulega amewataka wanavikundi wa kilimo cha mwani na ufugaji wa samaki wawezeshwe katika nyanja mbalimbali ikiwemo kupewa mafunzo juu ya ulimaji bora wa mwani na ufugaji bora wa samaki ambapo amewashauri wakulima hao kufuga majongoo bahari,kambakochi na kunenepesha kaa ili kuleta mzunguko wa fedha.

Ameyasema hayo alipotembelea kikundi cha wakina mama walima mwani(LIKUVI) Kitumbikwela na kikundi cha wafuga samaki asm kilichopo Machole leo tarehe 01/03/2022.

                                 Naibu Waziri alipotembelea kikundi cha wafugaji samaki machole.

Ulega amewaagiza mkurugenzi wa benki ya kilimo na Dokta Mzigani kutoka chuo cha uvuvi kilichopo Mtwara Mikindani kutoa mafunzo ya haraka kwa vikundi hivyo Katika kuhakikisha hilo linatekelezwa ameahidi kurudi tena kuja kukagua utekelezaji wa maagizo hayo baada ya miezi miwili.Pia kwa changamoto zilizowasilishwa na vikundi hivyo mheshimiwa waziri ameahidi kutatua changamoto zilizo ndani ya uwezo wake ili kuwainua wanavikundi hao kwani wameonyesha utayari na ari katika kuhakikisha wanafanikiwa kiuchumi kupitia miradi yao.

Aidha amewapongeza sana wanawake ambao wanalima kilimo cha mwani kwani ni mara chache kuona wanawake kama hao wakijitoa kwa hali na mali katika kujikwamua kiuchumi hasa katika mradi walioamua kuutekeleza.Pia ametoa agizo kwa Mkurugenzi wa Manispaa kuhakikisha wanakikundi hao wanakopeshwa kupitia 10% ya makusanyo ya ndani na pia kuwajengea ghala wanakikundi hao ili waweze kuhifadhi mwani.

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe.Zainab Telack ameahidi kushirikiana vyema na vikundi hivyo na anatamani siku moja kuona Lindi ikiwa juu kiuchumi.Amewaomba wanavikundi hao kuwa na utayari wa kufanya kazi kwa bidii huku wadau wengine wakihangaika kuwatafutia masoko ya mazao hayo.

Mheshimiwa mbunge wa jimbo la Lindi mjini Mheshimiwa Hamida Abdallah amemshukuru mheshimiwa naibu waziri kwa ujio wake na vilevile kwa ahadi alizozitoa juu ya kuwatatulia changamoto zinazowakumba vikundi hivyo.Mheshimiwa Hamida ameahidi kununua Kamba kwa ajili ya kikundi wa wanawake wanaolima mwani(LIKUVI).

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa