• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

WATUMISHI WANAO WAJIBU WA KUHAKIKISHA WANATUMIA VIZURI MASAA YA KAZI NA RASILIMALI MBALIMBALI KWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO YA KAZI KWA UBUNIFU NA TIJA.

Imetumwa: May 1st, 2023

Hayo yamezungumzwa na mkuu wa wilaya ya Kilwa Mhe. Christopher Ngubiagai wakati akitoa hotuba yake Kwenye sherehe ya siku ya wafanyakazi, Mei mosi ambayo ki mkoa imefanyika wilayani kilwa.

Mhe. Ngubiagai alikuwa ndiye Mgeni rasmi Kwenye sherehe ya siku ya wafanyakazi (Mei Mosi) mkoani Lindi akimuwakilisha Mkuu wa mkoa wa Lindi Mhe.Zainab Telack.

Katika hatua nyingine Mhe. Ngubiagai kwenye hotuba yake akimuwakilisha mkuu wa mkoa wa Lindi alizungumzia suala la kukemea rushwa kwemye maeneo ya kazi kwa watumishi lakini pia kuepuka vitendo vya unyanyasaji mahali pa kazi.


Aidha Mhe.Ngubiagai amesisitiza waajiri wote wa mkoa wa Lindi kuhakikisha wana unda na kuendesha mabaraza ya wafanyakazi mahala pakazi kwa mujibu wa sheria ya ajira na mahusiano kazini sura namba 366 iliyo rejewa mwaka 2019 na majadiliano ya pamoja no 19 na sheria ya utumishi wa umma namba 8 ya mwaka 2002.

Sambamba na hilo, Mhe. Ngubiagai kwenye hotuba yake ambayo ikimuwakilisha mkuu wa mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack alizungumzia suala la kuepuka tamaduni, mila na desturi ambazo tunaletewa katika mkoa wetu kutokana na uwepo wa matendo ambayo ni kinyume na maadili yetu.

Lakini pia Mhe. Ngubiagai aliwapoingeza wafanyakazi hodari kutumia fursa hiyo kuongeza bidii na juhudi ili waweze kuwa mfano bpra kwa watumishi wengine.Vile vile Mhe. Ngubiagai aliwapongeza watu wote waliofika katika viwanja hivyo vya Mkapa Garden kwa kushiriki katika maadhimisho hayo ya siku ya wafanyakazi. Katika sherehe hizo pia mgeni rasmi Mhe. Ngubiagai alitoa zawadi kwa watumishi hodari kutoka halmashauri zote za Mkoa wa Lindi,kama motisha na chachu ya kuendelea kufanya kazi kwa watumishi wengine.

Mwisho Mhe. Ngubiagai aliwatakia watumishi wote maadhimisho mema ya siku ya wafanyakazi, lakini pia aliwapongeza vyama vya wafanyakazi kwa mshikamano wao katika kuandaa sherehe hizo za siku ya wafanyakazi

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UANDIKISHAJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI.

    May 17, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI MANISPAA YA LINDI LIMEANZA LEO MEI 16,2025.

    May 16, 2025
  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa