• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

WANAOFANYA VIZURI WAPEWE ZAWADI DC-NDEMANGA

Imetumwa: February 23rd, 2023

Baadhi ya waalimu wa shule za msingi na sekondari wakipokea zawadi kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga kwenye sherehe ya utoaji tuzo kwa waalimu na wanafunzi ambao wamefanya vizuri kwa mwaka 2022.

Sherehe hiyo ya utoaji wa tuzo hizo imefanyika katika ukumbi wa Kagwa ndani ya Manispaa ya Lindi siku ya Alhamisi tarehe 23, ambapo wageni mbalimbali walihudhuria sherehe hiyo akiwemo mstahiki meya wa Manispaa ya Lindi ndg. Frank Magali lakini pia mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi ndg.Juma Mnwele,magavana,afisa elimu sekondari Ndg.Rehema Nahale,kaimu afisa elimu msingi Ndg. Selemani Mngeleka,maafisa tarafa,wakuu wa idara mbalimbali,wadhibiti ubora,CWT,waalimu wa shule za msingi na sekondari,wanafunzi,wadau mbalimbali pamoja na watendaji kata kutoka katika kata mbalimbali ndani ya Manispaa ya Lindi.Tuzo ambao zilitolewa kwenye sherehe hiyo ni kama vile kwa upande wa elimu ya msingi mkuu wa wilaya ametoa tuzo kwa mwalimu mkuu bora kwa shule za msingi kwa mwaka 2022 ambapo shule ya msingi Mchinga ilipata ushindi katika kipengele hicho ambapo Mwl,Daudi levile alipata tuzo hiyo.

Tuzo nyingine ambayo imetolewa kwa upande wa shule za msingi, ni shule bora za msingi ambazo ni shule ya msingi Msinjahili,stadium Joy,Hidaya,Great Mind pamoja na shule ya msingi Nanyanje,zilipata tuzo hiyo.Lakini pia tuzo hizo zilienda kwa shule bora kwa usimamizi wa wa miradi ya ujenzi kwa mwaka 2022 ambayo ni shule ya msingi Ruchemi.

Kwa upande wa idara ya elimu sekondari tuzo zilitolewa kwa shule bora matokeo ya mtihani wa kidato cha nne kwa mwaka 2022 ambapo tuzo ilikwenda kwa Shule ya sekondari Angaza,shule bora matokeo ya upimaji wa kidato cha pili 2022 ambapo tuzo ilikwenda katika shule ya sekondari Wama sharaf, shule bora iliyoondoa daraja la sifuri kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha nne kwa mwaka 2022 ambapo tuzo ilikwenda kwa shule ya sekondari Mipingo,lakini pia tuzo ilitolewa kwa shule iliyoondoa daraja sifuri kwenye matokeo ya mtihani wa upimaji wa kidato cha pili mwaka 2022 ambapo tuzo zilitolewa kwa shule ya sekondari Wama Sharaf pamoja na shule ya sekondari Mipingo.

Mwisho mkuu wa wilaya alisisitiza wakuu wa idara wakishirikiana na waalimu wa shule zote za msingi na sekondari ndani ya Manispaa ya Lindi kuhakikisha wanafunzi 118 kwa upande wa shule za msingi na sekondari ambao bado hawajaripoti shuleni wanaripoti shuleni  mpaka kufikia jumatatu ya tarehe 27 mwezi huu wa tatu lakini pia alizungumzia ufunguzi wa shule mpya ya sekondari Shaibu Ndemanga siku ya jumatatu ya tarehe 27 ambapo wanafunzi wataanza masomo yao.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa