• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

Wakulima wanufaika na Bei nzuri ya Ufuta kwa Msimu wa 2019,Wastani wa TSHS 2,740/= kwa Kilo

Imetumwa: July 22nd, 2019

Msimu wa ufuta ulifunguliwa rasmi tarehe 25 Mei 2019 kwa vyama vya msingi kufungua maghala na kukusanya ufuta kutoka kwa wakulima.

Katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi vyama vyote vya msingi vitano vinakusanya na kuuza ufuta wa wakulima kupitia minada inayofanyika kila wiki.

Mpaka kufikia mwishoni mwa robo ya nne minada mitatu ya ufuta ilikua imeshafanyika na jumla ya kilo 685,884 zilikusanywa kupitia vyama vya Lindi Manispaa kama inavyoonekana katika mchanganuo hapo chini:

CHAMA CHA MSINGI
MNADA WA KWANZA
MNADA WA PILI
MNADA WA TATU
JUMLA

KGS
KGS
KGS
KGS
CHIKONI AMCOS
60,912
97,358
78,263
236,533
KITUMIKI AMCOS
16,100
49,214
140,770
206,085
NG’APA AMCOS
11,638
41,578
56,889
110,105
MNAZIMMOJA AMCOS
_
42,981
44,025
87,006
MNALI AMCOS
13,910
13,758
18,488
46,156
JUMLA KUU
102,560
244,889
338,435
685,884


Mauzo ya Ufuta katika Msimu wa 2019 ilianza kwa bei ya TSHS 3,065/= kwa Kilo. Bei hii ilishuka katika minada iliyofuata na kufikia bei ya shilingi 2740/= kwa kilo 

NA
CHAMA CHA MSINGI
MNADA WA KWANZA
MNADA WA PILI
MNADA WA TATU


KGS
BEI
KGS
BEI
KGS
BEI
01
CHIKONI AMCOS
60,912
3,065/=
97,358
2,953/=
78,263
2,740/=
02
KITUMIKI AMCOS
16,100
3,065/=
49,214
2,905/=
140,770
2,740/2,738/=
03
NG’APA AMCOS
11,638
3,065/=
41,578
2,905/=
56,889
2,740/=
04
MNAZIMMOJA AMCOS
_
_
42,981
2,953/=
44,025
2,740/=
05
MNALI AMCOS
13,910
3,065/=
13,758
2,953/=
18,488
2,740/=


102,560

244,889

338,435

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa