• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

WAATHIRIKA WA JANGA LA MOTO KITOMANGA WAPATA TUMAINI.

Imetumwa: November 4th, 2022

Halmashauri ya Manispaa ya Lindi imepokea vifaa na chakula kutoka kwa Msalaba Mwekundu kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Mchinga Mhe.Salma Rashidi Kikwete leo tarehe 4/11/2022.

Mama Salma ameahidi kuendelea kutafuta wadau wengine ili kuendelea kutoa misaada kwa wahanga hao Katika kuhakikisha wananchi wa Jimbo lake wanaishi vizuri na kupata mahitaji yao yote muhimu.

Aidha,Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wamewashukuru wote walioshiriki katika kuhakikisha misaada hiyo inapatikana katika kupunguza machungu ya waathirika hao.Mkuu wa Wilaya amewaomba kamati inayogawa vifaa hivyo na chakula kuangalia vigezo muhimu katika kugawa vifaa hivyo.

Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na magodoro 200,blanketi 200,ndoo,madumu 200,vikombe,bakuli na majagi.Vyakula vilivyotolewa ni pamoja maharage,unga,mafuta,chumvi,sukari na majani ya chai n.k

Meneja wa kukabiliana na maafa Msalaba Mwekundu Bwana Samwel Katamba amesema kuwa wataendelea kupambana kuendelea kutoa misaada kwa kadri ya uwezo wao ambapo ameahidi kuleta maturubai(matenti)kwa ajili ya waathirika hao.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2023 December 15, 2022
  • Tangazo kwa umma: Uuzaji wa dawa muhimu kwa binadamu November 30, 2022
  • Kuitwa kwenye usaili November 08, 2022
  • TAARIFA KWA UMMA: MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI October 03, 2022
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA AFUNGUA MWAKA 2023 KWA KISHINDO

    January 14, 2023
  • VISHIKWAMBI VIENDE KUENDELEZA SEKTA YA ELIMU LINDI -DC NDEMANGA

    January 16, 2023
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI KUANZISHA KLINIKI YA ARDHI

    January 13, 2023
  • UJIO WA DKT KIKWETE KUJA KUFUNGUA FURSA MBALIMBALI MKOA WA LINDI

    January 09, 2023
  • Ona Yote

Video

Tamko la Mkuu wa Wilaya ya Lindi kuhusu zahanati ya Mnali
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa