• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

RC-TELACK ATOA PONGEZI KWA MANISPAA YA LINDI KWA KUPATA HATI SAFI KWA UKAGUZI ULIOPITA.

Imetumwa: June 6th, 2023

Pongezi hizo amezitoa  juni 6, 2023 kwenye kikao cha baraza la madiwani kikao ambacho kilikuwa na lengo la kujadili,Kupitia na kutoa maoni juu ya utekelezaji wa hoja za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG), kwa mwaka 2021/2022.

Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa wa mikutano wa Manispaa ya Lindi (DDC). Huku mgeni rasmi akiwa ni mkuu wa mkoa wa Lindi Mh.Zainab Telack.

Sambamba na hilo Telack amemuomba mstahiki meya wa Manispaa ya Lindi Mh.Frank Magali kumsaidia Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi Juma Mnwele kutafuta vyanzo vipya vya mapato ili halmashauri ya Manispaa ya Lindi iweze kujiendesha, lakini pia amesisitiza suala la uchumi wa bluu kupitia kilimo cha mwani na kuangalia ni jinsi gani wanaweza kuwawezesha kina mama ili waweze kuchangia kuongeza pato la Halmashauri yetu.

Aidha Telack, alitumia nafasi hiyo kuwaalika wajumbe wa kikao hicho kwenye jukwaa la biashara litakalo fanyika juni 7, 2023, jukwaa ambalo litakwenda kuangalia ni jinsi gani tunaweza kuinua mkoa wetu katika suala zima la biashara. Lakini pia alizungumzia tamasha la madini na uwekezaji litakalofanyika wilaya ya Ruangwa kuanzia tarehe 21-26 mwezi huu.

Awali mkuu wa wilaya ya Lindi Mh. Shaibu Ndemanga , alitoa pongezi kwa mstahiki meya wa Manispaa ya Lindi, Mh. Frank Magali, watendaji pamoja na madiwani kwa kikao hicho kizuri. Lakini pia alitoa pongezi kwa CAG kwa kuwa washauri wazuri. 

Mwisho, Ndemanga alimuomba mstahiki meya wa Manispaa ya Lindi Mh.Frank Magali pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi Juma Mnwele kumpa ushirikiano mkaguzi wa ndani ili aweze kufanya kazi zake vizuri ili tuweze kupata hoja ambazo tunaweza kuzipatia majibu.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa