• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

RC LINDI ASISITIZA WANAFUNZI KURIPOTI SHULENI JANUARY.

Imetumwa: December 20th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe Zainab amesisitiza wazazi kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza wanaripoti shuleni ifikapo  January 17/2022. RC Amesema “Watoto walikuwa wanabanana kwenye madarasa huko lakini Mhe. Rais akasema nataka watoto wasibanane lakini wasome vizuri waweze kufaulu vizuri ameleta fedha hizo ni nyingi Mkoa wetu pekeake tumepokea bilioni 8 na point.  Kwahiyo niwaombe sasa wazazi tumejenga madarasa tumekamilisha tumetengeneza madarasa mazuri January watoto wanakuja kusoma naomba watoto wote watakaochaguliwa waje wakasome na kila mzazi naomba akawe mlinzi na mzazi mwenzie”. RC ametaka pia watoto walioolewa warudishwe nyumbani ili wakasome.

 Ameyasema hayo leo alipokuwa akikabidhiwa madarasa 56 yaliyojengwa kwa pesa za mkopo kutoka IMF kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa UVIKO-19. Shule ya Sekondari ya Mingoyo imetumika kuwakilisha ujenzi wa madarasa yote 56.

Ujenzi wa madarasa hayo umegharimu kiasi cha fedha Bilioni 1,120,000,000/= kwa mchanganuo ufuatao milioni 420 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 21 shule shikizi 8[elimu msingi] na milioni 700 shule za sekondari 14 ujenzi wa madarasa 35 kwa kila darasa shilingi milioni 20,000,000/=.

Mkuu wa mkoa kwa kipekee amemshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha hizo za ujenzi Mkoani Lindi lakini pia amewashukuru wananchi kwa kazi kubwa waliyoifanya  katika kutekeleza ukamilishaji wa ujenzi wa madarasa 56 lakini pia kuendelea na moyo huo kwa miradi mingine inayokuja.

Aidha,Mkuu wa Wilaya Ndugu Shaibu Ndemanga alipata wasaa wa kutoa taarifa fupi kwa Wilaya ya Lindi ambapo amesema mpaka kufikia leo ujenzi umekamilika kuna bakaa ya kiasi cha fedha milioni 33,204,982.37/= ambapo kupitia nguvu ya wananchi imeweza kuokoa kiasi hiko cha fedha.

DC ameahidi kuwa wakati mwingine watatumia kiasi kidogo cha fedha kukamilisha miradi, Kwani kupitia miradi hii wamejifunza kuwa inawezekana.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa