• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

RC LINDI AKABIDHI VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI KWA WAKUU WA WILAYA ZA LINDI.

Imetumwa: November 30th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack amekabidhi vitambulisho  vya wafanyabiashara ndogondogo 937  kwa wakuu wa wilaya za Mkoa wa Lindi tayari kwenda kugawiwa kwa wafanyabiashara wadogowadogo wanaofanya shughuli zao katika Halmashauri za wilaya za Lindi, Mtama, Nachingwea, Kilwa, Liwale na Ruangwa.

Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Mhe. Telack amesisitiza uadilifu na umakini katika zoezi zima la kuendelea kusajiri wafanyabiashara ndogondogo ili kuzuia kupunguza mapato ya serikali kwa kusajiri makundi ya wafanyabiashara wanaopaswa kulipa kodi ikiwemo wachimbaji wa madini.

" Tusiende kusajiri wachimbaji hao tuwaache walipe kodi ili tusiharibu mapato ya serikali. Wenye haki ya kupata vitambulisho hivi ni makundi ya wafanyabiashara ndogondogo ambao ni Mama na baba Lishe, dereva pikipiki na bajaji na machinga tu, wafanyabiashara wenye uwezo wa kulipa kodi tuache walipe kodi. Tujenge nchi yetu, Nchi inajengwa kwa kodi". Amesisitiza

Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Lindi, Ndugu. Charles Kigahe ameeleza kuwa matumizi ya kitambulisho hudumu kwa muda wa miaka mitatu ambapo mfanyabiashara ndogondogo atanufaika kwa kutambuliwa na kupata mikopo kutoka taasisi za kifedha nchini pamoja na kupewa kipaumbele katika maeneo bora ya kufanyia biashara.

"Utaratibu wa kupata vitambulisho cha mfanyabiashara ndogondogo huanza kwa zoezi la uhakiki wa mfanyabiashara anayesajiriwa linalofanywa na Maafisa Biashara na Maafisa maendeleo ya Jamii kwa kuthibitisha taarifa za anayesajiriwa katika mfumo ambapo baadabya uthibitisho mfanyabishara atalazimika kulipia kiasi cha shilingi elfu ishirini" ameeleza.

Imeelezwa kuwa zoezi la utoaji wa vitambulisho kwa wafabyabishara wadogowadogo nchini itasaidia kujua idadi ya wafanyabiashara ndogondogo katika maeneo husika hivyo kurahisisha mchakato wa kutenga, kuendeleza ama kuboresha mazingira na miundombinu ya biashara iliyo rafiki kulingana na mahitaji yao.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa