• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MKUU WA WILAYA ASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA.

Imetumwa: October 8th, 2021

Mkuu wa Wilaya ndugu Shaibu Ndemanga ametembelea na kushiriki ujenzi wa kituo cha afya cha tarafa ya mchinga kinachojengwa katika kata ya Mvuleni kijiji cha Mvuleni ambapo pia aliambatana na Mkurugenzi wa Manispaa na timu ya wataalamu wa idara mbalimbali.

 Ujenzi wa kituo hiko utatumia kiasi cha shilingi milioni 250 kwa hatua za ujenzi wa majengo matatu,jengo la OPD,maabara na kichomea taka.Baada ya kukamilika kwa majengo hayo milioni mia mbili hamsini zitaombwa ili kununua vifaa tiba na madawa ili kuanza kutumia kituo hiko.Kwasasa kituo hiko kipo kwenye hatua ya kuchimba msingi.

Aidha,Ndugu shaibu Ndemanga ameongea na wananchi na kuwaambia kuwa waache migogoro isiyokuwa na msingi ili kuweza kujadili maendeleo Zaidi na si kusuluhisha migogoro kwani jimbo la Mchinga limeonekana kuwa na migogoro mingi inayopelekea kushusha kasi ya kufanya miradi ya maendeleo kwa wakati.

Vilevile amewaomba wananchi kuhakikisha wanajitolea ili kuweza kuendana na kasi ya matumizi ya pesa ili kuweza kumaliza haraka na kuomba zingine,lakini pia kujitolea kwenye miradi ya maendeleo ni lazima na siyo hiyari.Amewaagiza kuweka daftari kwa watakaofika kujitolea lakini pia watakaoajiriwa kwa kazi ya vibarua ni wale wanaojitolea ndio watapewa kipaumbele.

Kutokana na ukosefu wa maji katika eneo hilo la ujenzi wa kituo cha afya Ndemanga ameagiza kuundwa kwa timu ya vijana kumi watakaozunguka na wataalamu kutoka bonde la mto Ruvuma watakaokuja kufanya utafiti kwenye eneo la kuzunguka ujenzi huo ili kujua wapi wataweza kupata maji na kuweza kuchimba,ili ujenzi utakapoanza isichukue muda mrefu kupata maji ya uhakika na kuachana na maji ya kuletwa na wananchi.

Mkuu wa Wilaya ametoa pongezi za dhati kwa wananchi kwa juhudi wanazozionyesha kwenye ujenzi huo kwani wameonyesha kiu na ari ya kutaka maendeleo.

Aidha kwa kuongezea amewashauri wanachi kuhakikisha mwakani wanashiriki vema zoezi la sense ya watu na makazi ili kuweza kupata idadi kamili ya watu iweze kusaidia kwa mambo ya maendeleo kwani maendeleo hufanywa kulingana na idadi ya watu wa sehemu husika.Kwahiyo waachane na Imani potofu juu ya zoezi la sensa na kuhakikisha wanatoa taarifa sahihi siku ya zoezi hilo.


Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa