• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA AFUNGUA MWAKA 2023 KWA KISHINDO

Imetumwa: January 14th, 2023

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya  Mtama, Ndg George Mbilinyi, amefanya Bonanza kubwa kwaajili ya kuuaga mwaka 2022 na kuukaribisha mwaka 2023. Bonanza hilo limefanyika siku ya tarehe 14/1/2023 katika viwanja vya shule ya sekondari Nyangao.Ambapo limehusisha watumishi kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Lindi na Halmashauri ya Mtama.

Kwenye Bonanza hilo michezo mbalimbali ilifanyika ambapo watumishi kutoka katika Halmashauri hizi mbili, Halmashauri ya Manispaa ya Lindi na Halmashauri ya Mtama walishiriki kwa pamoja.

Miongoni mwa michezo ambayo ilifanyika katika Bonanza hilo ni kama vile, mpira wa miguu kwa wanaume ambapo timu ya vijana na timu ya maveterani kutoka katika Halmashauri zote zilishiriki kwa pamoja katika mchezo huo. Michezo mingine ni kama vile, rede na netball kwa wanawake, bao na drafti kwa wanaume na wanawake,pamoja na kukimbia kwa magunia kwa upande wa wanawake na wanaume.

Washindi mbalimbali walipatikana katika Bonanza hilo,matokeo yalikuwa kama ifuatavyo, kwa upande wa mpira wa miguu matokeo yalikuwa 5 kwa 3 ambapo timu ya Halmashauri ya Mtama ilijipatia ushindi, kwa upande wa rede matokeo yalikua 2 kwa 1 ambapo timu ya Mtama ilijipatia ushindi, kwa upande wa netball yalikuwa 12 kwa 10 ambapo timu ya Mtama ilijipatia ushindi, kwa upande wa kukimbia na magunia mshindi wa kwanza alitokea Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, mshindi wa pili alitokea Halmashauri ya Mtama na mshindi wa tatu alitokea Halmashauri ya Mtama.Kwa upande wa drafti kwa wanaume mshindi alitokea Halmashauri ya Mtama na kwa upande wa wanawake mshindi alitokea Halmashauri ya Manispaa ya Lindi.Kwa upande wa mchezo wa bao mshindi alitokea Halmashauri ya Mtama.

Baadaya ya Bonanza hilo watumishi walipata nafasi ya kula chakula cha mchana kabla hawajarudi tena jioni kwaajili ya ya sherehe ya kuukaribisha mwaka 2023.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mtama kwenye mazungumzo yake kabla hajamkaribisha mkuu wa wilaya kwaajili ya kutoa neno lake alisisitiza watumishi ambao wame hudhuria katika Bonanza hilo  kwamba siku hiyo ya Bonanza ni siku muhimu kwa watumishi wote hivyo wanaweza kula na kunywa pamoja na kufurahi.

Sambamba na hilo Mkuu wa wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu ndemanga aliwapongeza watumishi wote kwa kuhudhuria katika sherehe hiyo ya kuuaga mwaka 2022 kwasababu muitikio ulikuwa ni mkubwa na watumishi wengi walijitokeza,lakini pia alisisitiza watumishi wote wafanye kazi kwa bidii ili tuweze kuleta maendeleo katika Halmashauri yetu na nchi kwa ujumla.

Mwisho mgeni rasmi katika shughuli hiyo ambae ni kaimu mkuu wa mkoa wa Lindi Kanali Ahmedi Abas Ahmed,alitoa neno lake kwa wageni waalikwa ambao walihudhuria katika Bonanza hilo, kwa kusema ni muhimu kwa watumishi kufanya kazi kwa malengo,kwasababu kama watafanya kazi kwa malengo ni rahisi kupata maendeleo katika nchi yetu.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa