• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MKURUGENZI AFANYA ZIARA KATA YA MBANJA.

Imetumwa: October 11th, 2021

Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi ndugu Juma Mnwele afanya ziara kata ya Mbanja,mtaa wa Kikwetu shule ya msingi Kikwetu.Madhumuni ya ziara hiyo ni kupita kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi kwani ujio wake umembatana na timu ya wataalamu kutoka Manispaa ili kuweza kupatia ufumbuzi wa kero hizo kwa wakati kulingana na idara husika.Wataalamu walioweza kushiriki ni pamoja na idara ya ardhi,mazingira,elimu,TASAF,mhandisi,Afisa biashara,Afisa utumishi,mwanasheria na afisa habari.

Awali ya yote Bw.Mnwele ameweza kujitambulisha kwani ni ziara yake ya kwanza kwenye kata hiyo,Ametoa pongezi za dhati kwa kata ya Mbanja kwani wanaonyesha juhudi kwenye kushiriki vema kwenye miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa shule shikizi.

Kupitia ziara hiyo Mkurugenzi ameweza kutoa suluhu kwa kero mbalimbali zilizotolewa na wananchi hao.Moja ya kero iliyowagusa wengi ni umbali mrefu kwa wanafunzi wa shule ya msingi kiasi wanatumia umbali wa Km 10 kufata shule,Kupitia kero hiyo Mnwele alimwagiza afisa elimu msingi kutoa ufafanuzi kwa undani ili kumaliza changamoto hiyo ambapo Maafisa elimu wamesema kiasi cha shilingi milioni 120 zimetengwa kwa ajili ya kata ya Mbanja kwamba kupitia fedha hizo huenda ikawa neema kwa kutatua changamoto hiyo.

Afisa elimu ndugu matilda luvanda akitoa ufafanuzi juu ya kero za wananchi.

Aidha Mkurugenzi ametoa rai kwa wananchi kutojenga chuki na mamlaka ya ndege kupitia mgogoro uliopo wa upanuzi wa eneo la uwanja hadi kufikia maeneo ya watu kwani suala hilo lipo juu ya uwezo wa Ofisi kuu  kwahiyo waendelee kuvumilia ili kusubiri wataalamu wizara ya ardhi ili waje kutoa ufafanuzi juu ya hilo.

Bw.Mnwele amewahakikishia wananchi wa Mbanja kwa kero ambazo hazijapatiwa ufumbuzi watajitahidi kama wataalamu kwa kadiri wanavyoweza ili kuhakikisha kila mtu anapata haki yake.Kwa wale ambao wamepitiwa na eneo la mradi wa gesi na wameshapata fidia kuhakikisha wanafanya mambo ya maendeleo.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa