• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya manispaa ya lindi
Halmashauri ya manispaa ya lindi

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya manispaa ya lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MHE. VICTORIA MWANZIVA AHAMASISHA UJENZI WA MADARASA SHULE YA MSINGI MKWAJUNI, LINDI.

Imetumwa: February 7th, 2026

Leo tarehe 07 Februari, 2026, Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Mhe. Victoria Mwanziva, ameongoza zoezi la kujitolea la uchimbaji wa msingi wa ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa katika Shule ya Msingi Mkwajuni, iliyopo Kata ya Kitomanga, Jimbo la Mchinga.


Mhe. Mwanziva aliambatana na wataalamu wa Halmashauri kutoka Idara ya Elimu Msingi wakiongozwa na Mkuu wa Idara, Mwl. Said Farahani, pamoja na Msaidizi wa Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Ndugu Abdallah Mkokoi. Zoezi hilo ni sehemu ya utekelezaji wa ujenzi wa madarasa unaofadhiliwa na Serikali kwa gharama ya shilingi milioni 96, fedha zilizopatikana kupitia jitihada za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi.


Ujenzi huo umechukuliwa kama hatua ya haraka kufuatia madhara ya upepo mkali na mvua uliosababisha kuondoka kwa paa za vyumba viwili vya madarasa, nyumba mbili za watumishi pamoja na vyoo, hali iliyowaweka wanafunzi katika mazingira hatarishi ya kujifunzia.


Akizungumza na wananchi waliojitokeza kushiriki katika zoezi hilo, Mhe. Victoria Mwanziva alisema:


“Ninatoa shukrani za dhati kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha upatikanaji wa fedha hizi kwa wakati, pamoja na kumpongeza Mkurugenzi wa Halmashauri kwa kuhakikisha maelekezo ya Serikali yanatekelezwa ili wanafunzi warudi kujifunza katika mazingira salama haraka iwezekanavyo.”


Mhe. Mwanziva pia alimshukuru Mbunge wa Jimbo la Mchinga na wananchi wa Kijiji cha Mkwajuni kwa kujitokeza kwa wingi na kushiriki kikamilifu katika zoezi la kujitolea, huku akibainisha kuwa kazi ya uchimbaji wa msingi na ujenzi wa madarasa imeanza rasmi.

Matangazo

  • TANGAZO LA UCHAGUZI MKUU WA RAIS WABUNGE NA MADIWANI 2025 TANZANIA BARA.. October 19, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA October 07, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI. October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA. September 15, 2025
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI MNWELE AONGOZA KIKAO CHA WATAALAM HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI KUANDAA RASIMU YA MPANGO BAJETI MWAKA 2026/2027

    February 15, 2026
  • KILIMO KWANZA MANISPAA YA LINDI: HALMASHAURI YAONGOZA UGAWAJI WA MICHE 12,000 YA MINAZI KWA WAKULIMA

    February 15, 2026
  • VIJANA WA MANISPAA YA LINDI WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YA UWEZESHAJI WA MAUDHUI MTANDAONI

    February 14, 2026
  • HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI 2025/2026

    February 14, 2026
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa

  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • toto slot
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • toto slot
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77
  • situs toto