• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MANISPAA YA LINDI YAPOKEA PIKIPIKI 22 KUTOKA KWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWAAJILI YA MAAFISA KILIMO

Imetumwa: March 13th, 2023

Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Ndg. Ngusa Samike Leo Jumatatu amezindua zoezi la ugawaji wa pikipiki zilizotolewa na Serikali kupitia Wizara ya Kilimo.


Akizindua ugawaji wa pikipiki 291 zilizotolewa kwa Maafisa Kilimo wa Mkoa wa Lindi, Ndg. Ngusa Samike amewataka Maafisa Kilimo kuzitumia pikipiki hizo kwa shughuli za kuihudumia jamii na si vyinginevyo. Amesisitiza kuwa upatikanaji wa pikipiki hizo uendane na matokeo chanya kwenye sekta ya Kilimo.

Katibu

Ndg. Ngusa amewaasa pia Maafisa hao kutumia pikipiki hizo kwa umakini na tahadhali ili kujilinda na ajali ambazo zimekuwa zikigharimu maisha ya wataalam wa Serikali.


Awali Akizungumza mbele ya Maafisa Kilimo, Katibu wa Chama cha Mapinduzi Ndg. Barnabasi Esau amewasihi Maafisa hao kuzitunza na kuzihudumia pikipiki hizo ili zidumu na kuleta tija.



Akisoma taarifa ya ugawaji wa pikipiki hizo, Ndg. Majid Myao amesema kuwa awamu ya kwanza Mkoa wa Lindi ulipokea pikipiki 6, awamu ya pili Mkoa ulipokea pikipiki 23 na awamu ya tatu Mkoa umepokea pikipiki 262  ambazo zimepelekwa kwa Maafisa Kilimo na Maafisa Ushirika.


Akizungumza kwa niaba ya Maafisa ugani, Bi. Amina Pemba ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa kutatua changamoto ya Maafisa ugani katika utoaji wa huduma kwa wakulima. Amesema kuwa kwa sasa wakulima watapata huduma kwa wakati Kwa kuwa uwezo wa kuwafikia umeimarishwa.Kwa Manispaa ya Lindi maafisa ugani wamepatiwa pikipiki zipatazo 22 ambazo zitakwenda kurahisisha upatikanaji wa  huduma kwa wakulima ndani ya Manispaa ya Lindi.



Pikipiki hizo zinatolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya kiongozi mahili Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ni mwendelezo wa kuimarisha mazingira ya wataalam wake katika kuwahudumia wananchi kwa wakati na uhakika.Ahsante sana Dkt Samia Suluhu Hassan kwa pikipiki hizi,kwani zitakwenda kurahisisha kazi kwa maafisa kilimo wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi katika kutekeleza majukumu yao ya kuwahudumia wakulima ndani ya Manispaa yetu na kazi itaendelea.





Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2023 December 15, 2022
  • Tangazo kwa umma: Uuzaji wa dawa muhimu kwa binadamu November 30, 2022
  • Kuitwa kwenye usaili November 08, 2022
  • TAARIFA KWA UMMA: MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI October 03, 2022
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LAAC YAPONGEZA UONGOZI NA WALIMU WA SHULE YA SEKONDARI LINDI PAMOJA NA KUTOA MAELEKEZO KWA TAMISEMI

    March 23, 2023
  • SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NI SIKU YA KUJIKUMBUSHA WAJIBU PAMOJA NA MAJUKUMU YETU . RC-TELACK

    March 08, 2023
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE MANISPAA YA LINDI YAFANA.

    March 06, 2023
  • MANISPAA YA LINDI YAPOKEA PIKIPIKI 22 KUTOKA KWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWAAJILI YA MAAFISA KILIMO

    March 13, 2023
  • Ona Yote

Video

Tamko la Mkuu wa Wilaya ya Lindi kuhusu zahanati ya Mnali
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa