• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MANISPAA YA LINDI YAPATA UFADHILI WA VITABU 11,906 KWA SHULE ZA SEKONDARI KUTOKA KWA KAMPUNI ZA KIMATAIFA ZA NISHATI ZA SHELL NA EQUINOR.

Imetumwa: January 29th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack mapema  tarehe 29, Januari 2024 amepokea jumla ya vitabu 17,076  vyenye thamani ya shilingi Milioni 180 ambavyo ni Sehemu ya mitaala ya Elimu ya Sekondari Tanzania kwa kiwango cha kawaida yaani O' level vinavyotarajiwa kusambazwa katika Shule 21 za Sekondari kwa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi pamoja na Halmashauri ya Mtama ambapo kwa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi imepata shule 11 kwa upande wa Halmashauri ya Mtama imepata shule 10.

Halmashauri ya Manispaa ya Lindi imepokea vitabu 11, 906 pamoja na Halmashauri ya Mtama vitabu 5170.

Shule ambazo zimepokea vitabu hivyo katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi  ni pamoja na shule ya Sekondari Lindi, Mchinga, Zainab Telack, Angaza, Chikonji, Shaibu Ndemanga, Likong'o, Kilangala, Mipingo pamoja na  Kitumbikwela.

Aidha  Mhe. Zainab Telack ameshukuru mashirika  hayo ya Nishati ya (IECs) Shell na Equinor kwa ufadhili huo wa vitabu lakini pia  ameahidi ufuatiliaji  katika ufundishaji na usomaji wa vitabu vyote kwa shule  ambazo zimepokea Vitabu hivyo.

Sambamba na hilo Mhe. Telack amepongeza juhudi zilizofanywa na kampuni hizo katika kuunga mkono jitihada zinazofanywa na serikali ya Mkoa wa Lindi katika kuinua kiwango cha elimu na ufaulu wa wanafunzi.

Vitabu hivyo ni kwa masomo ya Hisabati, Fizikia, Kemia, Baiolojia, Jiografia, Uraia, Kiswahili, Book- keeping, pamoja na Kingereza vinatarajiwa kutatua changamoto za uhaba wa vitabu vya kujisomea  kwa wanafunzi, ikiwa ni sehemu ya programu za uwekezaji wa kijamii unaofanywa na kampuni hizo za kimataifa za nishati.




Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa