• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MANISPAA YA LINDI YAKABIDHIWA PIKIPIKI KUTOKA BODI YA KOROSHO TANZANIA.

Imetumwa: September 22nd, 2022

Mkoa wa Lindi wawakilisha mikoa yote inayolima korosho Tanzania katika hafla ya uzinduzi na ugawaji wa pikipiki kwa maafisa ugani wa maeneo yanayolima korosho kwa wingi.Hafla hiyo imefanyika leo katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Lindi ambapo viongozi na wataalamu mbalimbali wameweza kuhudhuria.Mgeni rasmi wa hafla hiyo ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi ndugu Shaibu Ndemanga akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe.Zainab Tellack.

Akizungumza kwenye hafla hiyo Mwenyekiti wa Bodi ya korosho Tanzania Brigedia Jenerali mstaafu Aloyce  Damian Mwanjile amesema Jumla ya kiasi cha fedha shilingi milioni 297 zimetumika katika manunuzi ya pikipiki 95 ambapo zitagawiwa kwenye mikoa inayolima korosho ili kuweza kuongeza ufanisi na tija kwenye zao hilo.Pikipiki hizo zitagawiwa pia kwenye Halmashauri kwa kuzingatia jiografia ya maeneo husika.

Mwenyekiti wa Bodi pia amesema kwa kutoa vitendea kazi hivo wanaamini kuwa lengo la kupata tani laki saba litafikiwa kama maagizo ya Mhe.Rais yanavyosema hivyo basi manunuzi ya vitendea kazi yatakuwa endelevu kuhakikisha lengo linafikiwa.

                            Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania akitoa neno kwenye hafla hiyo.

Aidha,Mkuu wa Wilaya ameipongeza Bodi ya Korosho kwa kutoa vitendea kazi hivyo kwani ilikuwa ni changamoto ya muda mrefu ambapo ilikuwa inawakabili maafisa ugani wa maeneo hayo.Katika kuhakikisha pikipiki hizo zinafanya kazi ipasavyo na kwa muda mrefu ametoa wito kwa Halmashauri zote kuhakikisha wanawawezesha mafuta na matengenezo ya pikipiki hizo.

Pia kuhakikisha pikipiki hizo zinagawiwa pasipo upendeleo ili kuwapa motisha maafisa ugani katika utendaji kazi wao.Bw.Ndemanga amewataka maafisa ugani kutumia pikipiki hizo kwa lengo husika na sio shughuli binafsi mbali na kuwahudumia wakulima wa korosho katika maeneo yao.

Kupitia hafla hiyo Mkurugenzi  wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi Ndugu  Juma Mnwele  ameweza kusaini hati ya makabidhiano ya pikipiki hizo kwa Manispaa ya Lindi.

         Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho na Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi wakisaini Hati ya makabidhiano ya pikipiki za Halmashauri ya Manispaa ya Lindi.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa