• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MANISPAA YA LINDI KUFIKIA 100% UTOAJI MIKOPO MWISHO WA MWAKA.

Imetumwa: February 2nd, 2022

Halmashauri ya Manispaa ya Lindi imeendelea kutekeleza takwa la kisheria la kutenga na kutoa fedha za 10% ya mapato ya ndani ili kuwezesha mkopo kwa vikundi vya wanawake,vijana na wenye ulemavu.Leo hii tarehe 02/02/2022 Halmashauri ya Manispaa ya Lindi imetoa mkopo wa shilingi 100,500,000.Ambapo katika fedha hizi shilingi 84,500,000.00/= ni asilimia 10% ya mapato ya ndani na kiasi cha shilingi 16,000,000 kimetokana na fedha za marejesho ya mikopo.Hafla ya utoaji wa mikopo hiyo imefanyika eneo la stendi kuu ya mabasi ambapo mgeni rasmi ni Mkuu wa Wilaya ndugu Shaibu Ndemanga,Hafla hiyo imeweza kuhudhuriwa pia na Mkurugenzi wa Manispaa,Mstahiki Meya,madiwani na wataalamu mbalimbali.

Mkuu wa Wilaya amewataka wanavikundi kuwa waaminifu katika kurudisha marejesho ya mikopo hiyo ili wengine wapate kunufaika nayo.Amewaonya kutovunja kikundi kwa namna yoyote mpaka pale watakapomaliza marejesho ya mkopo.Bwana Ndemanga ametoa pongezi kwa Mkurugenzi na wataalamu kwa kazi kubwa wanayoifanya katika kuhakikisha vikundi vinapata mikopo pia kwa hatua kubwa waliyoipiga kufikia 95% kwa mwaka wa fedha 2021/2022 katika utoaji mikopo.



Mkurugenzi ameahidi hadi kufikia mwisho wa mwaka wa fedha mwezi juni watakuwa wametoa mikopo kwa 100%.Aidha,Mkurugenzi amewataka wanakikundi kutoa taarifa ikitokea wameombwa chochote ambacho ni kinyume na utaratibu kwani mikopo hiyo haihitaji kurudisha fedha kwa maana ya rushwa ama shukrani kwani jukumu la serikali kuwahudumia wananchi.Aidha,Mstahiki Meya wa Manispaa Mhe.Frank Magali amewaasa wananchi wa Lindi kulipa stahili zinazotakiwa ili kuwezesha upatikanaji wa makusanyo ya ndani ambayo ndio yanapelekea kutoa 10% ya makusanyo kwa ajili ya kutoa mikopo kwa vikundi.
 


Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa