• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MAHAKAMA MTANDAO YAONGEZA UFANISI MAHAKAMANI.

Imetumwa: February 2nd, 2022

Katika kuadhimisha wiki ya sheria kitaifa kilele cha maadhimisho hayo kwa Manispaa ya Lindi yamefanyika leo 2.2.2022 katika viwanja vya hakimu mkazi Lindi ambapo mgeni rasmi wa maadhimisho hayo ni Mkuu wa Wilaya Ndugu Shaibu Ndemanga akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe.Zainab Telack.Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Zama za Mapinduzi ya nne ya Viwanda:Safari ya Maboresho kuelekea Mahakama Mtandao”

Matumizi ya mahakama mtandao yaani usajili wa kesi,uotoaji wa ushahidi,usuluhishi na kazi zote za mahakama kufanyika kielektroniki imeongeza ufanisi wa utendaji kazi mahakani ikiwemo urundikwaji wa kesi umepungua ukilinganisha na hapo awali hivyo kufanya kazi kuwa nyepesi.Ameyasema hayo Hakimu mkazi mfawidhi wa Mkoa wa Lindi Consolata Singano alipokuwa akihutubia katika maadhimisho hayo.Amesema ukuaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano imekuwa Nyanja katika kuhakikisha kazi zinafanya kwa ufanisi ambapo kwa kutumia mahakama mtandao mashauri yanaendeshwa hata kama mtuhumiwa yupo mkoa tofauti.

Aidha,akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa Mkuu wa Wilaya Bwana Ndemanga amesema maboresho yaliyofanywa yapo kwa mujibu wa sheria ambapo serikali imefanya ili mahakama itende kazi zake kwa ufasaha Zaidi.Amewapongeza wafanyakazi wa mahakama kwa kazi kubwa waliyofanya ndani ya wiki hii ya sheria ya kuhakikisha wanapita shuleni na sehemu mbalimbali kutoa elimu juu ya kazi zinazofanywa na mahakama ambapo sasa wanafunzi wanauelewa wa kutosha juu chombo hicho hivyo amewaomba kuendelea na utaratibu huo ili kuhakikisha wananchi wanakuwa na uelewa mpana Zaidi pale wanapozungumzia mhimili huo.

Vilevile,Ndemanga amesisitiza uadilifu katika utekelezaji wa majukumu yetu.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa