• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NGAZI YA KATA WAPEWA MAFUNZO JUU YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.

Imetumwa: December 21st, 2024

Maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya kata Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kwa majimbo mawili ambayo ni jimbo la Mchinga pamoja na Jimbo la Lindi Mjini wamepewa Mafunzo juu ya uandikishaji na uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura.

Akiongea na Wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya kata wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo mapema Leo tarehe 21 Januari 2025 Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Halmashauri ya Manispaa ya Lindi Juma Mnwele amesema mawakala wa vyama vya siasa wataruhusiwa kuwepo katika vituo vya kuandikisha wapiga kura Kwani huleta uwazi katika zoezi zima lakini pia watatumika kutambua wapiga kura wa eneo husika na hivyo kupelekea kupunguza vurugu  zisizo na ulazima, hata hivyo mawakala hao hawataruhusiwa kuingiilia utekelezaji wa majukumu ya waandikishaji wasaidizi ngazi ya kata kipindi chote cha uandikishaji wa zoezi hilo la  daftari la kudumu la wapiga kura vituoni.

Sambamba na hilo Mnwele ametoa wito kwa  Wasimamizi hao kutunza na kuhifadhi vifaa ambavyo vita tumika katika zoezi la uandikishaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura pamoja  na kuzingatia maelekezo yote yatakayotolewa na Tume huru ya taifa ya uchaguzi ili waweze kuyafanyia kazi kwa usahihi wakati zoezi litakapo anza.

Mafunzo hayo kwa maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya kata yatafanyika kwa siku mbili kuanzia tarehe 21-22 Januari 2025, kwenye ukumbi wa Mikutano wa Dockyard Hall Centre, ambapo baada ya mafunzo hayo wakufunzi hao watakwenda kuwafundisha waandikishaji wasaidizi ngazi ya vituo pamoja na waendesha vifaa vya bayometriki kuanzia Tarehe 25 na 26.


Kauli mbiu ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura  kwa mwaka 2024/25 inasema :

“Kujiandikisha Kuwa Mpiga Kura ni Msingi wa Uchaguzi Bora”

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa