• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

KIKAO CHA VIONGOZI WA WAENDESHA BODA BODA NA WAMACHINGA PAMOJA NA UONGOZI WA MANISPAA YA LINDI.

Imetumwa: March 3rd, 2023

Leo tarehe 3 Machi 2023, kulikuwa na kikao kati ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi pamoja viongozi wa waendesha Bodaboda na wamachinga(wafanya (biashara wadogo wadogo).Kikao hicho kimefanyika katika ofisi ya Halmashauri,kikiwa na lengo la kujadili ujio wa fedha kiasi cha shilingi 10,000,000,kwaajili ya ujenzi wa ofisi yao.

Fedha hizo ni kwaajili ya kuboresha mazingira ya wamamchinga,wajasiriamali wadogo na bodaboda kama ambavyo Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyo ahidi na sasa ametekeleza.

Katika kikao hicho mambo mbalimbali yamejadiliwa kwaajili ya ujemzi wa ofisi hiyo lakini pia eneo ambalo litatumika katika ujenzi wa ofisi hiyo, ambapo eneo lililopo pembezoni mwa soko la uwanja wa fisi upande wa kushoto karibu na  barabara kuu iendayo Dar es salaam lilipitishwa kwaajili ya ujenzi wa ofisi hiyo.

Sambamba na hilo mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi Ndg Juma Mnwele,alisema uwepo wa ofisi ya bodaboda na wamachinga katika Manispaa ya Lindi,  itatumika kama kitambulisho kuwa waendesha bodaboda pamoja na wamachinga ni huduma rasmi.Lakini pia Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi alitoa ahadi kuwa Manispaa itachangia tofali 500 kwaajili ya ujenzi wa ofisi hiyo.

Katika hatua nyingine Afisa maendeleo ya jamii Manispaa ya Lindi Ndg. Moses Mkoveke aliwaomba viongozi wa boda boda na wamachinga  ambao kwa kiasi kikubwa ni vijana kuchangamkia fursa ya fedha zinazo tolewa na serikari kwaajili ya wajasiriamali vijana lakini pia kuwa na uwezo wa kubuni vitu ambavyo vinaleta manufaa na huduma katika jamii zetu.

Vilevile mwenyekiti wa  waendesha boda boda Manispaa ya Lindi  ndg, Omari Doa Omari,alitoa shukurani kwa serikari ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inayo ongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa kiasi cha fedha kwaajili ya ujenzi wa ofisi yao ambayo kwa njia moja ama nyingine itakwenda kuwa mkombozi kwa waendesha boda boda na wamachinga lakini pia ofisi hiyo itakwenda kuwa kitambulisho chao katika jamii. Doa pia aliahidi kupita kwenye vituo mbalimbali vya boda boda ndani ya Manispaa ya Lindi na kuhamasisha waendesha boda boda kushiriki katika ujenzi wa ofisi hiyo kwa namna moja ama nyingine

Mwisho mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi Ndg .Juma Mnwele alipata nafasi ya kuambatana na viongozi hao wa waendesha boda boda  pamoja na wamachinga na kwenda kuangalia eneo ambalo limepitishwa kwaajili ya ujenzi wa ofisi hiyo ili taratibu za vipimo kwenye eneo hilo na ujenzi ziweze kuanza.


Matangazo

  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2023 December 15, 2022
  • Tangazo kwa umma: Uuzaji wa dawa muhimu kwa binadamu November 30, 2022
  • Kuitwa kwenye usaili November 08, 2022
  • TAARIFA KWA UMMA: MAPOKEZI YA FEDHA ZA MIRADI October 03, 2022
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LAAC YAPONGEZA UONGOZI NA WALIMU WA SHULE YA SEKONDARI LINDI PAMOJA NA KUTOA MAELEKEZO KWA TAMISEMI

    March 23, 2023
  • SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NI SIKU YA KUJIKUMBUSHA WAJIBU PAMOJA NA MAJUKUMU YETU . RC-TELACK

    March 08, 2023
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE MANISPAA YA LINDI YAFANA.

    March 06, 2023
  • MANISPAA YA LINDI YAPOKEA PIKIPIKI 22 KUTOKA KWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWAAJILI YA MAAFISA KILIMO

    March 13, 2023
  • Ona Yote

Video

Tamko la Mkuu wa Wilaya ya Lindi kuhusu zahanati ya Mnali
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa