• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

KAMATI YA URATIBU MWENGE MKOA WA LINDI YARIDHISHWA NA MIRADI PENDEKEZWA YA MWENGE. MANISPAA YA LINDI.

Imetumwa: March 27th, 2025

Kamati ya uratibu mwenge Mkoa wa Lindi imetembelea na kukagua miradi pendekezwa ya mwenge ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Lindi Leo Machi 27,2025 ambapo imeridhishwa na hatua nzuri zilizofikiwa kwenye miradi hiyo.

Miradi ambayo imetembelewa ni pamoja na Ujenzi wa kituo Cha mafuta buti la zungu kilichopo kata ya Jamhuri chenye thamani ya shilingi 2,230,000,000, kutembelea Kikundi cha vijana cha Salumu Decoration kilichopatiwa mikopo na Halmashauri  wenye thamani ya shilingi  20,000,000 na  Kuona shughuli za Vijana hao, Kikundi kilichopo kata ya matopeni, pamoja na Ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kuelekea shule ya sekondari ya wasichana kilangala, kata ya Kilangala  mradi wenye wenye thamani ya shilingi 1,390,525,885.

Miradi mingine ni pamoja na Ujenzi wa nyumba ya Mkurugenzi iliyopo kata ya Rasbura wenye thamani ya shilingi 250,000,000,Kuona shughuli za klabu ya utunzaji na uhifadhi wa mazingira shule ya msingi Mnazi Mmoja (B), kata ya Mnazi mmoja, Ujenzi wa jengo la ofisi ya NHIF lililopo kata ya Rasbura lenye thamani ya shilingi 401,089,904.8, Ujenzi wa vyumba 7 vya madarasa, Vyumba 2 vya madarasa ya awali vyoo matundu 6, vile vile Jengo la utawala shule ya msingi Stadium kata ya Mikumbi ,wenye thamani ya shilingi 334,600,000 pamoja na  kutembelea na kuona shughuli za matumizi ya Nishati safi katika shule ya Sekondari Lindi Wasichana iliyopo kata ya Kilangala.

Aidha kamati hiyo imetoa maelekezo kwa timu ya wataalam wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kuhakikisha nyaraka zote muhimu za miradi zinapatikana katika kila Mradi husika.

Sambamba na hilo kamati imeiomba timu  ya wataalam Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kuendelea kufanya ufuatiliaji wa miradi hiyo mara kwa mara ili kujua maendeleo ya miradi husika.

Manispaa ya Lindi inategemea kupokea mbio za mwenge wa Uhuru kutoka Halmashauri ya Mtama Mnamo Mei , 27, 2025, shime Kwa wakazi wa Manispaa ya Lindi kujitokeza ifikapo siku hiyo kwaajili ya kupokea na kukimbiza mwenge wa Uhuru.

Kauli mbiu ya mwenge wa Uhuru mwaka 2025 inasema 

"Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa amani na Utulivu".

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa