• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI HALMASHAURI YA MJI KIBAHA YAFANYA ZIARA MANISPAA YA LINDI

Imetumwa: September 29th, 2022

Kamati ya kudhibiti UKIMWI ya Halmashauri ya Mji Kibaha imefanya ziara leo 29/09/2022 katika Manispaa ya Lindi.Kamati hiyo ikiongozwa na Mwenyekiti ya Halmashauri Mstahiki Meya Mhe.Mussa Ndomba na Mkurugenzi ndugu Mshamu Munde wamefanya ziara yenye lengo la kujifunza ni kwa namna gani Lindi imeweza kupunguza kwa kiasi kikubwa maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI hadi kufikia 0.3%.

Kamati imeweza kupata taarifa fupi ya kwa namna gani Lindi imeweza kudhibiti kwa kiasi kubwa maambukizi mapya ya UKIMWI na wameweza kutembelea kituo cha afya cha mji na konga ambapo wameweza kujifunza mambo mbalimbali.

Meya wa Manispaa ya Lindi Mhe.Frank Magali amewashukuru kwa ujio wa kamati hiyo ambapo amesema ujio wao utawapa chachu kwa Manispaa ya Lindi kuendelea kuweka mipango thabiti ya kumaliza kabisa maambukizi mapya.Pia amesema ujio huo umewapa motisha ya kuona kwamba na wao wana nafasi ya kwenda kibaha kujifunza mambo mbalimbali.

Aidha,Mhe.Meya amewaambia fursa iliyopo kwa sasa kwamba Manispaa inauza viwanja kwahiyo mwenye uhitaji wa viwanja basi Manispaa ya Lindi vinapatikana ukizingatia kuna fursa mbalimbali ikiwemo mradi wa gesi unaotarajiwa kuanza utekelezaji wake karibuni hivyo wakaribie sana Manispaa ya Lindi kununua viwanja na kufanya uwekezaji.

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Mji Kibaha Mhe.Ndomba amewashukuru wanamanispaa kwa mapokezi mazuri lakini pia kupata mambo mbalimbali ya kujifunza ili kujua wapi waongeze na wapi kwa kupunguza ili waweze kufikia lengo la kudhibiti maambukizi mapya ya Ukimwi Kibaha ambapo kwa sasa Kibaha ina 5.2% ya maambukizi mapya.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji Kibaha ndugu Mshamu Munde amezitaka Halmashauri hizi kutafuta wafadhili zaidi ili kuweza kupunguza changamoto zinazowakabili kwani wafadhili walipo hawatoshi kufikia vituo vyote vya kutolea huduma.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa