• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

KAMATI YA FEDHA YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA MIRADI

Imetumwa: January 18th, 2019

Kamati ya fedha na utawala imeridhishwa na maendeleo ya utekelezaji wa  miradi katika Manispaa ya Lindi. Kamati hiyo ilikuwa katika ziara ya siku mbili ya ukaguzi wa miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Manispaa, iliyoanza tarehe 16 na kuisha tarehe 17 january.

Kamati hiyo ikiongozwa na Mstahiki Meya wa Manispaa Mhe. Mohamed Lihumbo, ilitembelea jumla ya miradi 12. Miradi iliyotembelewa ilikuwa ni:

  • Ujenzi wa shule ya sekondari Mitwero
  • Ujenzi wa matundu ya vyoo shule ya msingi Stadium
  • Ujenzi wa shule shikizi ya Lukuti
  • Ujenzi wa shule ya sekondari Kitunda
  • Ujenzi wa shule ya sekondari Mingoyo
  • Ujenzi wa kituo cha Afya Mnazimmoja
  • Ujenzi wa kituo cha Afya Kineng’ene
  • Ujenzi wa shule shikizi ya Mawasiliano
  • Ujenzi wa shule shikizi ya Mayani
  • Ujenzi wa machinjio ya kisasa Ngongo
  • Ujenzi wa shule ya msingi Mtange
  • Mradi wa TASAF wa upandaji korosho

Akizungumza katika ukaguzi huo, Mstahiki Meya alisifu na kupongeza maendeleo na hatua zilizofikiwa na miradi hiyo ambayo inajengwa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Manispaa, nguvu za wananchi pamoja na watu binafsi.

Aidha Mstahiki Meya pamoja na Kamati ilishauri Serikali za mitaa pamoja na wasimamizi wa miradi hiyo waweze kutoa elimu kwa wananchi ili wazidi kujitolea na kuilinda miradi hiyo kwa kuwa ni ya thamani na yenye manufaa kwao.

Pia, watu binafsi wametakiwa kuiga mfano wa Bw. Mohamed Khaki ambaye alikuwa ni mwanafunzi wa shule ya msingi Stadium katika miaka ya sitini. Bw. Khaki ameamua kuisaidia shule yake hiyo ya zamani katika ujenzi wa matundu ishirini na sita ya vyoo pamoja kutoa vifaa vya TEHAMA.

Kamati ya fedha ilikuwa katika ukaguzi wa kawaida wa miradi ambao hufanyika kila robo.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa