• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

MHESHIMIWA RAIS AZINDUA MKAKATI WA TANO WA KUDHIBITI UKIMWI

Imetumwa: December 1st, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt  Samia Suluhu Hassan  amewaagiza TACAIDS na Wizara ya Afya , Wizara ya Waziri Mkuu pamoja na wadau mbalimbali kuhakikisha  wanaweka mikakati thabiti ya kuhakikisha  ifikapo 2030 janga la Ukimwi Nchini halitakuwepo.

Akizungumza  leo katika Uwanja wa Ilulu ambao ilikuwa ni Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi  Duniani  Mh Dkt  Samia Suluhu Hassan  amesema inahitajika mikakati thabiti ya kufanya kwanza Kuweka mikakati ya kutofanya unyanyasaji kwa watu wenye maambukizi ya ya Virusi vya Ukimwi Nchini.

Rais Mh Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Mkakati mwingine ni kupunguza vifo vya watu wenye maambukizi ya Virusi vya Ukimwi nchini kwa kutoa elimu kwa walengwa kwa kuwa wengi wao wavivu kunywa dawa  hivyo inahitaji elimu ipasavyo.

" nimezindua Mkakati wa tano wa Kuthibiti Ukimwi Nchini hivyo niwatake Wizara zote na wadau mbalimbali  kuhakikisha mnasimamia kikamilifu mikakati hiyo ili iwe chachu ya kutokomeza Ukimwi  nchini ifikapo 2030. Mh Dkt Samia.

Hata hivyo Rais Mh  Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kauli mbiu iliyotumika mwaka huu ni ishara tosha ya kuendelea Kuimarisha  Usawa kwa kuhakikisha unyanyapa wa watu wenye maambukizi wa Virusi vya Ukimwi nchini unaondolewa na kuweza kuwajali na kuwadhamini kikamilifu.

Rais Mh Dkt Samia  amewaomba Baraza la wanaoishi na Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi Nchi  pale wanapopata fedha za Wafadhili kuweza kuendelea na Kuendesha kampeni  ya kutoa elimu kwa Vyuo Vikuu, Sekondali na shule za Msingi ili wapate elimu juu upimaji wa VVU na Ukimwi  .

" Sisi kama Serikali  tupo na nyie  katika Kuhakikisha  mnapata huduma iliyobora  na dawa zinapatikana  katika Kila sehemu  hususani vituo vya afya ,Zahanati na hospitali za wilaya na Mkoa hivyo niwaombe muendele kutumia  dawa  ipasavyo " Mh Dkt Samia.

Nae Waziri Mkuu  wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania  Mheshimies Kassim Majaliwa amewapongeza wadau wote ambao wameweza Kuhakikisha  wanafanikisha Kilele hiki ambacho kimekuwa ni chachu ya wananchi wa Mkoa wa Lindi na Taifa kwa ujumla katika Kuhakikisha  wanapata elimu juu ya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi Nchini.

" Maagizo yote ambayo umetupa sisi Mh Rais tutayafanyia kazi ipasavyo  na tutahakikisha malengo na mikakati thabiti tuliyojiwekea inasimamiwa kikamilifu kwa kuhakikisha ifikapo 2030 Janga la Ukimwi Nchini linatokomezwa kwa kiasi kikubwa."Mh Majaliwa .

Mkuu wa Mkoa wa Lindi  Zainab Telack  amesema Mapambano dhidi ya janga hatari la Ukimwi  yanaendelea kutekelezwa katika mkoa wetu, jitihada zilizofanyika zimetusaidia kwa kiwango kikubwa kupunguza maambukizi ya Virusi vya Ukimwi  kutoka 3.9 [mwaka 2008] hadi kufikia 0.3% [kwa utafiti uliofanyika mwaka 2017], Kiwango cha chini cha wastani wa kitaifa ni 4.7%.

Mh Telack  amesema tunaendelea na jitihada kwa kuanzisha vituo 130 vinavyotoa huduma za Tiba na Mafunzo (CTC) katika Wilaya zote na katika utekelezaji wa malengo ya tisini na tano 3 [95, 95, 95], mkoa umefikia 92% ya wenye maambukizi ya VVU kujua hali zao, 98% ya waliobainika na maambukizi kuanzishiwa matibabu ya dawa za kupunguza makali ya VVU na 95% ya wale walioanza dawa wamepunguza kiwango cha virusi mwilini.

" naomba nikupongeza Mh Rais Dkt Samia Suluhu Hassan  kwa kuwaleta fedha nyingi katika Idara ya Afya ndani ya Mkoa wangu na kuwashika mkono watu wenye maambukizi ya VVU vya Ukimwi kwa kuleta dawa Nyingi na kuleta wadau wengi kwa ajili yakuhamasisha upimaji wa afya kwa wananchi

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa