- Mwanzo
- Kuhusu sisi
-
Utawala
- Muundo wa Taasisi
-
Idara
- Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
- Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
- Idara ya Elimu ya Sekondari
- Idara ya Mipango na Uratibu
- Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
- Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
- Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
- Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
- Idara ya Maendeleo ya jamii
-
Vitengo
- Kitengo cha Huduma za Kisheria
- Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
- Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
- Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
- Kitengo cha Ununuzi
- Kitengo cha Fedha na Uhasibu
- Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
- Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
- Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
- Uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
- E-Learning
Baraza hilo limefanyika ukumbi wa DDC Manispaa ya Lindi mei 20,2023 likiongozwa na mstahiki meya wa Manispaa ya Lindi Mhe Frank Magali pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Lindi Juma Mnwele, lakini pia lilipata kuhudhuriwa na mkuu wa wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga , pia mwenyekiti wa CCM wilaya ya Lindi mjini Bakari Ali Bwatamu , vile vile madiwani wa kata zote zilizopo Manispaa ya Lindi walihudhuria, sambamba na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya Lindi pamoja na wataalamu mbalimbali kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Lindi.
Katika hatua nyingine mkuu wa wilaya ya Lindi Mhe Shaibu Ndemanga ambaye pia alipata kuhudhuria kayika baraza hilo, aliwapongeza wajumbe wa baraza hilo ambao ni madiwani kwa kazi kubwa wanazo zifanya kwenye kata zao,






