• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

Kata ya Kitumbikwela

UTANGULIZI

Kata ya kitumbikwela ni miongoni mwa kata 20 zilizopo katika manispaa ya Lindi. Idadi ya watu katika kata ya Kitumbikwela ni 6838,   wanaume 2891 na wanawake 3967 idadi ya mitaa (5) mtaa wa Kitumbikwela, Sinde, Kitunda, Mnali na Nachingwea.

BARAZA LA KATA 

Na
Idadi ya Mashauri
Idadi ya Mashauri ya madai
Idadi ya Mashauri ya Jinai
Idadi ya mashauri yaliyokwisha
Idadi ya mashauri yanayoendelea
1
0
0
0
0
0


IDADI YA WATUMISHI

Na
Shule
Mahitaji
Waliopo
Pungufu
1
Kitumbikwela
15
7
8
2
Sinde
11
6
5
3
Mkundi
4
4
-


Na
Zahanati
Mahitaji
Waliopo
Pungufu
1
Kitumbikwela
6
3
3
2
Mnali
6
2
4


Na
Idadi
Mahitaji
Waliopo
Pungufu
1
Mtendaji kata
1
1
-
2
Watendaji mitaa
5
3
2
3
Afisa mifugo
1
1
-
4
Afisa kilimo
1
1
-
5
Afisa uvuvi
1

1
6
Mratibu elimu kata
1
1
-
7
Afisa maendeleo
1
1
-


MAENDELEO YA ELIMU

UFUNDISHAJI

Ufundishaji katika kipindi umeendelea vizuri pamoja na upungufu wa walimu uliopo mitihani ya kufungia mwaka imefanyika kwa shule zote tatu kama ilivyopangwa:-

1. IDADI YA WALIMU

SHULE
MAHITAJI
WALIOPO
%
ME
KE
JUMLA
ME
KE
JUMLA
53%
KITUMBIKWELA
7
8
15
7
1
8
MKUNDI
2
4
4
ME
KE
JUMLA
100%
2
2
4
SINDE
7
11
11
ME
KE
JUMLA

4
2
6


MAENDELEO YA KILIMO

Kusimammia utekelezaji wa shughuli, malengo ya kilimo msimu wa 2019-2020 ambapo jumla ya kaya 1231 zinatakiwa zilime ekari mbili (2) ekari moja Desemba 2019 utekelezaji umefikia asilimia 49%kwa kuandaa mashamba na wengine tayari wamepada kama ufuta, mihogo na mtama. Kuhamasisha na kutoa elimu bora ya kilimo kwa mazao mbalimbali kupitia mikutano. Jumla ya mikutano mitatu (3) imefanyika Kitunda na Mnali, jumla ya wakulima 192 wamehamasishwa na kupata ushauri wa kilimo na matumizi sahihi ya viuatilifu.

  • Kutoa elimu ya kilimo na utunzaji wa bustani kwa wakulima wa nne (4) Nachingwea na Mnali ambao wanalima nyanya, mpapai, pilipili bamia na biringanyi.
  • Kuatilia mauzo ya korosho ambapo mpaka desemba 2019 jumla ya tani 125 zimekusanywa katika ghala la kitumbikwela na Mnali.
  • Kuatilia wakulima wanaodaiwa mbegu ya ufuta ambapo jumla ya wakulima  tisa (9) walikopa mbegu za ufuta waliolilipa wanne (4) wasiolipa watano (5). Jumla ya kiasi kilichopo ni Tshs 2,460,000/= bado Tshs 274,400/= wakulima waiobaki na madeni Mtendaji kata wa Afisa Kilimo tumewafatilia wameahidi kabla ya mwezi wa pili. Baada ya hapo tutawapeleka kwenye baraza la kata.

HALI YA MAZAO YA MASHAMBANI

Mpaka kufikia Desemba 2019 baadhi ya wakulima tayari wamepata mihogo, ufuta, karanga na mahindi na mazao yanaendelea vizuri na ukuaji.

VYAMA VYA MSINGI

Kata ya kitumbwikela ina vyama viwili vya msingi.

  1. Chama cha Msingi Kitumika
  2. Chama cha msingi Mnali (AMCOS)

MAENDELEO YA MIFUGO

TAKWIMU ZA MIFUGO

AINA YA MIFUGO
NG'OMBE
MBUZI
KONDOO
KUKU
MBWA
PAKA
SUNGURA
BATA
IDADI
149
1500
0
3000
72
49
-
-


UZALISHAJI WA MAZIWA

AINA YA MIFUGO
KIASI CHA MAZIWA
BEI KWA LITA
NG'OMBE
LITA 12000
1000/=


UZALISHAJI WA MAYAI

AINA YA NDEGE
KIASI CHA MAYAI
BEI KWA TREI
KUKU
TREI 200
12000


MIRADI YA MAENDELEO

NG'OMBE WA MAZIWA

VIKUNDI
IDADI YA WANACHAMA
IDADI YA NG'OMBE WOTE
1
30
46


MBUZI

VIKUNDI/ MITAA
IDADI YA MBUZI WA MKOPO
IDADI YA MBUZI WOTE
05
93
342


MAGONJWA YA MIFUGO

AINA YA MIFUGO
AINA YA MAGONJWA
IDADI YA MIFUGO ILIYOPATWA NA MAGONJWA
IDADI YA MIFUGO ILIYOTIBIWA
AINA YA DAWA ILIYOTUMIKA
NG'OMBE


ILIYOPONA
IDADI YA VIFO

Ndigana kari
6
6
1
Baparaquine oxyfarm
Ndigana baridi
10
10
0
Oxyfarm
Ndorobo
25
25
0
Tryponil/Samolin
Minyoo
4
4
0
Pen-Strep
MBUZI
Numonia
42
36
0
Oxyfarm
Minyoo
55
49
0
ivermectin
KUKU
Mdondo
0
0
0

Mafuta ya kuku
65
56
15
Tyro-doxy
Typhoid
83
75
0
Invermeltin
MBWA
Minyoo
13
13
0
Invermeltin
Mangemites
9
9
0
Invermeltin


CHANJO YA MIFUGO

AINA YA MIFUGO
UGONJWA
IDADI YA WALIOCHANJWA
AINA YA CHANJO
NG'OMBE
0
0
-
MBUZI
-
-
-
KUKU
Mdondo
600
La-sota
KUKU
Gumboro
600
-
KUKU
Ndui
600
-


UNYUNYIZAJI WA MIFUGO

AINA YA WANYAMA 
IDADI YA WALIONYUNYIZIWA
AINA YA DAWA
NG'OMBE
1980
Tiktik/ Paranex/ Twigatraz
MBUZI
780
Tiktik/ Paranex/ Twigatraz


UIMARISHAJI WA DHANA YA UZALENDO

Tunaendelea kuwahamasisha vijana wa kata ya kitumbikwela kujiunga na mafunzo ya jeshi la akiba mgambo kwa mwaka wa fedha 2019/2020 yatakapoanza.

USAFI WA MAZINGIRA 

Kila jumamosi ya mwisho wa mwezi usafi unafanyika katika eneo la ujenzi wa sekondari ya kata na kila siku usafi unafanyika katika maeneo ya watu.

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAENDELEO YA JAMII

Jumla ya vikundi vya kiuchumi vijana na wanawake ni

  • Vikundi vya vijana 22
  • Vikundi vya wanawake 16

Vikundi vyote vilikopeshwa na halmashauri kutoka kata ya Kitumbikwela vimerejesha mkopo.

MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA NA WANANCHI KWA NJIA YA KUJITOLEA

UJENZI WA SHULE YA KATA

Madarasa matano na ofisi ya shule ya sekondari yamekamilika. Aidha katika fedha iliyopokelewa na serikali kuu ni Tshs 62,500,000/= kiasi kilichobaki ni Tshs 740,000/= Fedha hizo zimekusudiwa kufanya kazi ya ujenzi wa miundombinu ya vyoo ili shule ya sekondari iweze kufunguliwa. Jamii wamekubali kuchagia nguvu na fedha ili kukamilisha ujenzi wa vyoo kwa haraka na hatua iliyofikia sasa mafundi wanaendelea na ujenzi wa miundombinu ya vyoo yenye matundu kumi (10).

TASAF III MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI

Mpaka sasa hakuna malipo yeyote ya walengwa yaliyotolewa mtaa wa Kitumbikwela kwa walengwa 117.

MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA KWENYE KATA.

  • Barabara ya Kitumbikwela- Shuka kuchonga, kuweka kifusi na kuweka karavati.
  • Barabara ya Sinde-Mkundi kuweka kifusi pamoja na karavati.

CHANGAMOTO NA MBINU ZA UTATUZI WA CHANGAMOTO

CHANGAMOTO

  • Pamoja shirika la umeme (TANESCO) kusambaza umeme wa REA kata ya Kitumbikwela mtaa wa Kitumbikwela lakini usambazaji wa umeme haukufika maeneo ya Taasisi kama eneo la shule ya msingi Mkundi, shule ya msingi Kitumbikwela pamoja na eneo la sekondari.
  • Barabara zinakufa kutokana na kutokuwa na miferji, mfano barabara ya kutoka Lukuti-Zahanati.
  • Barabara ya Mkundi-Hawa wananchi wanapata taabu kutokana na kutokuwa na barabara hivyo inawalazimu kupita pembezoni mwa fukwe na kipindi cha masika hapapitiki.
  • Barabara ya Rukuti juu kuna sehemu korofi kipindi cha masika hivyo basi sehemu hiyo inatakiwa kufanyiwa kazi.
  • Barabara ya Mapururu- Sinde, kwa kuwa hakuna barabara inayopitika wananchi wa eneo hilo wengi ni wazalishaji wa zao korosho na kipindi cha msimu wa korosho wananchi wanapata tabu namna ya kusafirisha korosho zao kupeleka kwenye ghala la Mnali AMCOS.
  • Ukosefu wa maji eneo la Mkundi, wananchi wa eneo hilo hutumia mwendo mrefu kufuata maji pia mtaa wa Sinde na Mnali hakuna Tank la kuhifadhi maji kwa sababu yanapokatika wananchi wanapata taabu.
  • Ukosefu wa huduma za mawasiliano ya mtandao wa simu (Network) mtaa wa SINDE-MNALI
  • Ujenzi holela wa kazi, wananchi wameanza kujenga nyumba zao za kudumu bila kufuata utaratibu wa mipango miji. 

UTATUZI WA CHANGAMOTO  

  • Tunaomba ifanyiwe kazi barabara ya Mkundi- Hato.
  • Tunaomba ifanyiwe kazi barabara ya Mapururu- Sinde.
  • Tunahitaji Tank la kuhifadhia maji Sinde, Mkundi, Hato, na Mnali.
  • Ipo haja kwa sasa usambazaji wa huduma za mawasiliano ya mitandao ya simu eneo la SINDE- MNALI.
  • Ipo haja kwa sasa Halmashauri kuandaa mpango  wa matumizi bora ya Ardhi ya Kitumbikwela.

















Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UANDIKISHAJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI.

    May 17, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI MANISPAA YA LINDI LIMEANZA LEO MEI 16,2025.

    May 16, 2025
  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa