• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

kata ya nachingwea

UTANGULIZI

Kata ya Nachingwea ni miongoni mwa kata 20 zilizopo katika Manispaa ya Lindi. kata hiyo ina mitaa 4 ambayo ni;

  • Sabasaba.
  • Mpilipili kusini
  • Mpilipili kaskazini
  • Nachingwea I

Kata ya Nachingwea ina jumla ya wakazi 3337, wanaume 1549 na wanawake 2788 kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012.

TAARIFA YA WATUMISHI WA KADA.

S/N
KADA
MAHITAJI
WALIOPO
PUNGUFU
1
Mtendaji wa kata
1
1
-
2
Watendaji wa mitaa
4
3
1
3
Afisa elimu kata
1
1
-
4
Afisa afya
1
1
-
5
Afisa Mifugo
1
1
-
6
Afisa maendeleo ya jamii
1
1
-


BARAZA LA KATA.

IDADI YA MASHAURI
MASHAURI YA JINAI
MASHAURI YA MADAI
MASHAURI YALIYOKWISHA
MASHAURI YANAYOENDELEA
  -
  -
  -
  -
  -


Hakuna mashauri yaliyofanyika.

TAARIFA ZINAZOHUSU HALI YA KATA.

Kata ya Nachingwea ina shule za msingi mbili ambazo ni Mlandege na Mpilipili.


HABARI ZA MAJENGO

  • Madarasa ya kudumu 14
  • Nyumba 1
  • Ofisi 1
  • Vyoo matundu 8
  • Stoo 1

Madarasa mawili kati ya 14 yamefanyiwa ukarabati, kwa fedha za kutoka ofisi ya Mkurugenzi.

SAMANI

  • Madawati yaliyopo 141  na pungufu 81
  • Viti vilivyopo 15  na pungufu 5
  • Kabati zilizopo  4  na pungufu 8
  • Rafu zilizopo 10

WALIMU

Walimu waliopo kituoni ni wanaume 1 na wanawake 7 jumla 8.

MAFANIKIO 

Kwa kipindi cha miezi 3 shule ilipata fedha kutoka ofisi ya Mkurugenzi, ambayo ilifanikisha zoezi la kufikisha maji safi na salama shuleni. pia fedha hizo zilisaidia kukarabati madarasa mawili. 

CHANGAMOTO

Pamoja na mafanikio bado shule ina changamoto ya uchakavu wa miundombinu, madarasa 11 ni chakavu kabisa. Pia shule ina changamoto ya nyumba za walimu.

TAARIFA ZA MIFUGO

AINA YA MIFUGO NG`OMBE MBUZI KUKU KONDOO MBWA PAKA SUNGURA BATA
IDADI 22 228 300 - 13 22 - 17


UZALISHAJI WA MAZIWA

AINA YA MIFUGO KIASI CHA MAZIWA BEI KWA LITA
NG`OMBE 2600 1000


UZALISHAJI WA MAYAI

AINA YA NDEGE KIASI CHA MAYAI BEI KWA TREI
KUKU 65 TREI 10,000


MAGONJWA YA MIFUGO

AINA YA WANYAMA UGONJWA IDADI YA WALIOATHIRIKA IDADI YA VIFO DAWA ILIYOTUMIKA
NG`OMBE Ndigana kali 6 - Baparvaquine

Ndigana baridi 9 - Oxyfarm

Ndorogo 10 - Berenic

Minyoo 9 - Ivermectin
MBUZI Pneumonia 13 - Oxyfarm

Ndorogo 17 - Berenil

Minyoo 35 - Ivermectin
KUKU Mdondo - -

Typhoid 185 25 Oxyfarm/Doxy

Mafua ya kuku 120 10 Oxyfarm/Doxy
MBWA Minyoo 6 - Ivermectin

Mange 4 - Ivermectin


CHANJO ZA MIFUGO

MIFUGO UGONJWA IDADI YA WALIOCHANJWA AINA YA CHANJO
KUKU MDONDO 600 LA-SOTA
MBWA RABIES 4


SHULE YA MSINGI MPILIPILI

IDADI YA WANAFUNZI

  AWALI 21 19 40
  DARASA WAVULANA WASICHANA JUMLA
  I 58 42 100
  II 46 39 85
  III 47 53 100
  IV 54 54 108
  V 55 46 101
  VI 49 48 97
  VII 48 50 98


TAARIFA YA FEDHA

MWEZI KIASI
  OKTOBA 965,475
NOVEMBA 965,475
DISEMBA 965,475


Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa