• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

Kata ya Mwenge

Kata ya mwenge ni miongoni mwa kata 20 za halmashauri ya manispaa ya Lindi. Kata ina jumla ya mitaa mitano (5) ambayo ni;-

  1. Mwenge
  2. Magogoni
  3. NHC
  4. Migombani
  5. Kilimahewa.

TAKWIMU ZA WAKAZI

  • Nguvu kazi 1958
  • Watoto 363
  • Walemavu ni 14
  • Yatima ni 28
  • Wazee ni 284

JUMLA YA WAKAZI WOTE 2605 (ME 1383 KE 1222)

  • Zoezi la uboreshaji wa daftari la wakazi bado linaendelea 
  • Idadi ya nyumba ni 630, nyuma za tofari ni 284 na nyumba za udongo 346
  • Idadi ya kaya ni 807

Idadi ya watumishi waliopo ndani ya kata ni tisa (9) kati ya hao ME=2 na KE=7 pungufu watumishi wawili (mtendaji wa mtaa)

IDADI YA VIKAO NA MIKUTANO

Jumla ya vikao vya WDC 02 kimefanyika kisheria . Jumla ya vikao 03 vya mitaa vimefanyika vya kamati za mtaa na mkutano mitatu(03).

MIRADI YA MAENDELEO

Kwa robo hii hakuna miradi mipya inayotekelezwa, isipokuwa ipo miradi ya zamani ambayo bado haijakamilika.

  • Mradi wa kurasimisha makazi katika mtaa wa kilimahewa umeanza kutekelezwa kwa kuwashirikisha wananchi wenyewe kwa kuchagia fedha ili kukilisha zoezi hilo.
  • Mradi wa ujenzi wa ofisi ya kata ambao haujakamilika na ujenzi wake umesimama kutokana na ukosefu wa fedha za kumalizia.

MAFANIKIO YA KATA

Mafanikio yaliyopita katika kipindi cha October hadi Desemmba ni kuendelea kwa kazi ya kugawa viwanja vya makazi kwa wananchi waliochangia, Ambapo hadi kufikia tarehe 30-12-2019 wananchi wapatao 132 wamepatiwa viwanja vyao na kazi hiyo inaendelea.

Pia kazi ya kurasimisha makazi katika mtaa wa kilimahewa inaendelea vizuri.

KIZIMBA CHA TAKATAKA

Kata ya Mwenge ina Kizimba kimoja (01) cha takataka ambacho kipo mtaa wa Mwenge kinatumika kuhifadhia taka. Pia kwa mtaa wa NHC kuna eneo la kuhifadhia taka kabla ya kupeleka dampo kuu la halmashauri.

Na
Jina la mtaa
Idadi ya kaya
Idadi ya maeneo ya kukusanyia taka(vizimba)
Idadi ya vikusanya taka ngazi ya kaya (Toroli)
Kiwango cha taka kilichokusanywa
Kiwango cha taka kilichokusanywa






Ngazi ya kaya
Taasisi na maeneo ya biashara
1
Mwenge
698
01
03
Tripu 1
-
-
2
NHC
106
01
01
Tripu 1
-
-
Jumla
-
807
02
04
Tripu 2
-
-


AFYA YA USAFI WA MAZINGIRA

Hali ya usafi wa mazingira katika kata ya Mwenge inaridhisha kwani wananchi wanajitokeza kushiriki kwenye usafi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi. Na usafi katika maeneo yao, na wale ambao hawashiriki katika usafi wa mazingira wanapelekwa katika baraza la kata kwa hatua zaidi za kisheria.

Lishe; Kupitia vikao na mikutano mbalimbali ngazi ya kata na mitaa wananchi walielimishwa umuhimu wa kuzingatia lishe bora.

MAENDELEO YA KILIMO NA MIFUGO

Kata ya Mwenge haina maeneo ya kilimo hivyo basi jamii inashughulikishwa na ufugaji mdogo mdogo wa ng'ombe, Mbuzi, kuku, bata, na n.k. Pia kata ina mtaalamu wa mifugo ambaye anahudumiwa kata ya Mwenge.

Wanafunzi 18 wamepewa elimu ya ufugaji bora wa mjini kwa njia ya kumtembelea mfugaji mmoja mmoja.

Hakuna kikundi chochote cha ufugaji katika kata ya Mwenge

Tiba za mifugo mbalimbali katika kata ya Mwenge

Na
Aina ya Mifugo
Aina ya Ugonjwa
Athirika
Tibiwa
Dawa iliyotumika
Pona
Kufa
1
Ng'ombe
E.C.F.
0
0
-
0
0
Anaplasmosis
01
01
OTC LA & diminakel
1
0
Helminthosis
4
4
ALBENDAZOLE
4
0
Trypanasomiasis
0
0
-
0
0
2
Mbuzi
Diarrheic syndrome
05
05
Sulphurdimidin
04
01
Helminthosis
132
123
Albendazole
132
0
3
Mbwa
Helminthosis
2
2
Ascaten P
2
0
4
Kuku
Helminthosis
62
62
Piperazine
62
0
Newcastle
0
0
-
0
0
5
Bata
Helminthosis
26
26
Piperazine
26
0


Uthibitisho wa magonjwa ya kupe na Ndorobo

  •  Ng'ombe 6 wamenyunyiziwa dawa yenye kiambata cha Amitraz.
  • Mbuzi 74 wamenyunyiziwa dawa yenye kiambata cha Amitraz.

MAENDELEO YA JAMII

Kwa robo hii hakuna kikundi chochote ambacho kimesajiliwa,  na hakuna kikundi kilichopewa mkopo kutoka halmashauri.

USAJILI WA WATOTO CHINI YA UMRI WA MIAKA 05 (RITA)

Katika  kipindi cha October hadi Desemba watoto 02 wamesajiliwa na kupatiwa vyeti vya kuzaliwa ME= 02, KE=00 na zoezi bado linaendelea.

BARAZA LA KATA

Baraza la kata lina wajibu wa kushughulilkia migogoro ya kawaida kwa mujibu wa sheria ya mabaraza ya mwaka 1985 na sheria ya ardhi ya mwaka 2002 katika kipindi cha Julai hadi Septemba. Ifuatayo ni jedwali linaonyesha idadi ya mashauri yaliyoshughulikiwa;-

Na
Idadi ya mashauri
Mashauri ya madai (idadi)
Mashauri ya jinai (idadi)
Mashauri yaliyokwisha (idadi)
Mashauri yanayoendelea (idadi)
1
03
01
00
02
01


ELIMU

Katika kata ya Mwenge hamna shule ya msingi wala ya sekondari, watoto wenye umri wa kwenda shule wanasoma shule za kata za jirani. Aidha hakuna taarifa iliyopokelewa kuhusu matatizo ya mimba na utoro.

ULINZI NA USALAMA

Hali ya ulinzi na usalama ni nzuri kwa wananchi kushiriki katika ulinzi shirikishi jamii na wananchi wamehamasishwa kijiunga na mafunzo ya jeshi la mgambo na zoezi la uandikashaji limefanyika tayari. Jumla ya vijana watano (5) wameandikishwa, ME=04 na KE= 01 na kwa hivi sasa mafunzo yanaendelea.

CHANGAMOTO

Kwa kipindi cha robo hii changamoto zilijitokeza ambazo ni:

  1. Taka ngumu hazizolewi kwa wakati ambapo zinaleta kero kwa jamii.
  2. Ukosefu wa shajala

Utatuzi wa changamoto.

  • Kupitia kamati za mazingira za mitaa na kata wananchi wamehamasishwa kuchangia fedha kwa ajili ya huduma ya uzoaji wa taka ngumu zilizopo maeneo ya makazi ngazi ya kaya na kuzipeleka katika kizimba na eneo la kukusanyia taka hatimaye dampo kuu.
  • Uzoaji wa taka ngumu ufanyike kwa  wakati ili kuepusha kero na uchafuzi wa mazingira kwa jamii.
  • Tunaomba ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi ituwezeshe fedha za ununuzi wa shajala.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa