• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

KATA YA MBANJA

UTANGULIZI:

Kata ya Mbanja ni miongoni mwa kata 20 zilizopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi. Kata ya Mbanja ina jumla ya mitaa 8 yenye wakazi wasiopungua 3370 kwa mchanganuo wa wanaume 1617 na wanawake 1753. kata hii ipo km 12 kutoka makao makuu ya Halmashauri ya Manispaa ya Lindi.

TAARIFA ZA WATUMISHI

                  UTAWALA

MAHITAJI WALIOPO
JUMLA PUNGUFU
    9   WANAUME WANAWAKE
      5
   3     1     4


                 AFYA

MAHITAJI WALIOPO
JUMLA PUNGUFU
    6   WANAUME WANAWAKE
      2
   2     2     4


                ELIMU

MAHITAJI WALIOPO
JUMLA PUNGUFU
    19   WANAUME WANAWAKE
      7
   7     5     12


               KILIMO NA UFUGAJI

MAHITAJI WALIOPO
JUMLA PUNGUFU
    10   WANAUME WANAWAKE
      9
        1     1


                   UVUVI

MAHITAJI WALIOPO
JUMLA PUNGUFU
    9   WANAUME WANAWAKE
      8
   1          1


MIRADI INAYOTEKELEZWA NDANI YA KATA

NAMBA JINA LA MRADI MGARAMIAJI BAJETI FEDHA ILIYOTOLEWA FEDHA ILIYOTUMIKA HALI YA MRADI MAONI

Ujenzi wa madarasa 4 s/k iliyopo mtaa wa masasi ya leo Halmashauri

Wananchi
 54,000,000/=   25,000,000/=   40,926,000/= Ujenzi unaendelea,madarasa yapo kwenye hatua ya kufunga gypsum. Jitahada za Halmashauri ziongezwe ili kuanza ujenzi wa jengo la utawala na vyoo.

Ujenzi wa madarasa 3 s/m iliyopo mtaa wa mbanja Wananchi  54,000,000/=    8,000,000/=   8,478,000/= Madarasa yote matatu yamekwisha ezekwa

Ujenzi wa madarasa 4 s/m kikwetu Wananchi

Halmashauri
  50,000,000/=   50,000,000/=    48,799,700/=  Madarasa yote manne yapo katika hatua ya kufunga gypsum na kuweka madirisha ya grill


BARAZA LA USULUHISHI LA KATA

NAMBA IDADI YA MASHAURI MASHAURI YA MADAI MASHAURI YA JINAI MASHAURI YALIYOKWISHA MASHAURI YANAYOENDELEA

    5       2      -        4        1


HALI YA KIELIMU

Kata ya Mbanja ina jumla ya shule mbili za msingi za kikwetu na Likong`o, kituo shikizi kimoja cha Mbanja.

IDADI YA WANAFUNZI NA WALIMU

    SHULE IDADI YA WANAFUNZI   IDADI YA WALIMU
     WAVULANA WASICHANA JUMLA    WANAUME  WaNAWAKE JUMLA UWIANO
    KIKWETU   239    187    426   5    3    8    1:54
    LIKONG`O   173     159    332    3     3     6


HALI YA UFUNDISHAJI

Hali ya ufundishaji kiujumla ni mzuri na ushirikiano kati ya wazazi na walimu ni wa kuridhisha. Na wanafunzi wapo katika kambi za mada ngumu ili kukuza uelewa kwa baadhi ya masomo yanayoonekana ni tatizo kwa muda wa kawaida na wa ziada. Pia mitihani inayofanyika kila wiki hususani kwa madarasa ya mitihani.

MIUNDOMBINU YA SHULE

Kuna mradi unaendelea shule ya msingi kikwetu wa ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa, upo katika hatua ya uchimbaji wa msingi ambapo fedha iliopo ni Tsh milioni 50 kwa ajili ya mradi huu. Hali ya miundombinu kwa sasa inachanganuliwa kama ifuatavyo hapa chini;

a) VYUMBA VYA MADARASA

     SHULE       MAHITAJI        VILIVYOPO        UPUNGUFU
Kikwetu        11           7           4
Likong`o        9            7            2
Kata kiujumla        20            14            6


b) MATUNDU YA VYOO

     SHULE       MAHITAJI        VILIVYOPO        UPUNGUFU
Kikwetu        20           18           2
Likong`o        14            4            10
Kata kiujumla        34            22            12


IDADI YA MIFUGO KATIKA KATA YA MBANJA

IDADI NG`OMBE MBUZI KUKU MBWA SUNGURA BATA KANGA KONDOO

   137    848     3352     42     39    33     21     -


TAARIFA ZA UZALISHAJI WA MAZAO YA MIFUGO

Jumla ya lita 42 za maziwa uzalishwa kwa siku.

TAKWIMU ZA VIKUNDI VYA UFUGAJI KATIKA KATA

NAMBA JINA LA KIKUNDI IDADI YA VIKUNDI MTAA IDADI YA MIFUGO SHUGHULI ZA VIKUNDI IDADI YA WANAKIKUNDI
     1 TASAF YA WAZEE     1    MBANJA    10 UFUGAJI WA NG`OMBE WA MAZIWA      6
     2 TASAF YA WAVUVI     1      KIKWETU     9 UFUGAJI WA NG`OMBE      11
     3 DADPS      3      LIKONG`O, MASASI YA LEO NA MTO MKAVU      30 UFUGAJI WA NG`OMBE WA MAZIWA       10
     4 TASAF/MBUZI       1  MBANJA       72 UFUGAJI WA MBUZI        19



AFYA

Hali ya jengo la Zahanati bado ni chakavu sana, kutokana na uwepo wa nyufa kwenye kuta na sakafu inayopelekea na kutitia kwa jengo la zahanati. kuna nyumba mbili zilizogawanywa na kupata nyumba nne za watumishi kati ya hizo nyumba mbili ni chakavu sana ambazo zinahatalisha watumiaji wa nyumba hizo.

MRADI WA LNG

Bado wananchi wa kata ya Mbanja wameendelea kudumisha amani licha ya mradi huo kuathiri kwa kiwango kikubwa shughuli zao za uchumi pamoja na makazi kiujumla. Aidha, katika robo hii ulifanyika uhakiki wa walengwa wa fidia ya mradi huu wa LNG. Hii limeongeza imani ya wananchi kwa serikali kwani imeonesha kuwajali na kuwathamini.


Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa