• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

Kata ya Matopeni

UTANGULIZI

Kata ya Matopeni ni miongoni mwa kata 20 zilizopo katika Manispaa ya Lindi. Kata hii ina jumla ya mitaa 7 ambayo ni;

  • Kawawa
  • Matopeni
  • Kota
  • Rips
  • Msikiti
  • Mtuleni A
  • Mtuleni B

TAARIFA YA WATUMISHI

S/N KADA MAHITAJI WALIOPO MAPUNGUFU
1 Mtendaji kata 1 1 -
2 Watendaji wa mitaa 7 3 4
3 Afisa Afya 1 1 -
4 Afisa maendeleo ya jamii 1 1 -
5 Polisi kata 1 2 -


BARAZA LA KATA

IDADI YA MASHAURI MASHAURI YA JINAI MASHAURI YA MADAI MASHAURI YALIYOKWISHA MASHAURI YANAYOENDELEA
 -  1  4  2  5


TAARIFA YA ELIMU

UANDIKISHAJI WA WANAFUNZI

Shule imeandikisha wanafunzi wa darasa la awali 32 ambao kati yawao wavulana 17 na wasichana 15, na darasa la kwanza wavulana 17 na wasichana 48.

HALI YA UFUNDISHAJI

Shule ina jumla ya walimu 7 wakiwepo wanaume 2 na wanawake 5, hali ya ufundishaji inaendelea vizuri.

HALI YA UTORO

Shule haina watoro wa kudumu, utoro unaojitokeza ni wa muda ambao uongozi wa shule umekuwa ukifuatiliwa siku hadi siku.

HALI YA USAFI WA MAZINGIRA

Hali ya usafi inaridhisha kwenye mitaa yote hii ni kutokana na uhamasishaji na ufatiliaji wa wataamu ngazi ya kata na mitaa. Ila kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha zimepelekea nyasi kukua kwa kasi hivyo basi timu ya wataalam ngazi ya kata na mitaa tunaendelea na mpango madhubuti wa kuhakikisha kila eneo lenye nyasi ama kichaka kusafishwa mara moja.

PONGEZI

Ofisi ya kata matopeni inaipongeza ofisi ya Mkurugenzi kwa kuwaletea huduma ya maji safi kwenye choo cha soko kuu.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI WA BODI YA AJIRA August 16, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI. July 12, 2023
  • FOMU YA MAOMBI YA KUNUNUA KIWANJA June 30, 2023
  • FOMU YA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO SHULE YA SEKONDARI LINDI WASICHANA June 20, 2023
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI MAALUM YA SAYANSI WASICHANA LINDI NA KUSHIRIKI MLO WA PAMOJA NA WANAFUNZI.

    September 10, 2023
  • JAZBA ZA PANDE ZOTE MBILI HAZITOSAIDIA WANANCHI WA MNYANGARA- SAGINI

    September 01, 2023
  • UTEKELEZAJI WA MRADI WA GESI ASILIA LIKONG'O (LNG) UTAPELEKEA MAENDELEO KATIKA MKOA WA LINDI NA TAIFA KWA UJUMLA : KASSIM MAJALIWA.

    August 28, 2023
  • MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA LINDI APONGEZA WAJUMBE WOTE WA KAMATI NA WENYEVITI WAO KWA USHIRIKIANO NA UWAJIBIKAJI KATIKA KUWASEMEA NA KUWAWAKILISHA WANANCHI

    August 16, 2023
  • Ona Yote

Video

Tamko la Mkuu wa Wilaya ya Lindi kuhusu zahanati ya Mnali
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa