• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

kata ya Tandangongoro

UTANGULIZI

Kata ya tandangongoro in miongoni mwa kata 20 zilizopo katika manispaa ya Lindi. kata hii ina jumla ya wakazi 3097 wakiwemo wanawake 1631 na wanaume 1466 na kaya 976.

Kata hii ina jumla ya mitaa 8 ambayo ni;

1. Tandangongoro

2.Muungano

3.Narunyu

4.Zahanati

5.Zawiani

6.Msikitini

7.Nandambi

8.Mkanga

VIKAO

MTAA IDADI YA VIKAO VYA MITAA IDADI YA MIKUTANO MIKUU
TANDANGONGORO 1 -
MUUNGANO 1 -
NARUNYU 1 -
ZAHANATI 1 -
ZAWIANI - -
MSIKITINI 1 -
NANDAMBI - -
MKANGA 2 1


TAARIFA YA WATUMISHI KWA KADA

KADA WALIOPO PUNGUFU
Utawala 6 3
Afya 6 8
Kilimo 1 7


BARAZA LA KATA

IDADI YA MASHAURI MASHAURI YA JINAI MASHAURI YA MADAI MASHAURI YALIYOKWISHA MASHAURI YANAYOENDELEA
2 - - 1 2


ELIMU

Mahudhurio ya wanafunzi

Hali ya mahudhurio ya wanafunzi ni ya kuridhisha upo utoro mdogomdogo na ukibainika wazazi na wanafunzi hao huitwa ofisini kwa uonywa na wanafunzi hao hubadilika na kuendelea na masomo.

UKAGUZI WA SHULE

Ukaguzi wa shule hufanywa mara kwa mara na mratibu elimu kata kwa kutembelea shule zote tatu. Pia na katika kipindi husika wadhibiti ubora washule walitembelea shule zote katika kata husika.

IDADI YA WALIMU

SHULE WANAUME WANAWAKE JUMLA PUNGUFU
MKANGA 3 - 3 4
TANDANGONGORO 4 2 6 2
NANDAMBI 2 2 6 2
JUMLA 9 4 13 10


WANAFUNZI WA DARASA LA VII WALIOFAULU 2019/2020

SHULE WAVULANA WASICHANA JUMLA
MKANGA 4 6 10
TANDANGONGORO 6 6 12
NANDAMBI 3 3 6
JUMLA 13 15 28


IDADI YA WANAFUNZI

SHULE WAVULANA WASICHANA JUMLA
MKANGA 72 86 158
TANDANGONGORO 196 195 391
NANDAMBI 77 58 135
JUMLA 345 339 684


AFYA

Katika kata ya Tandangongoro tuna jumla ya zahanati mbili ambazo zinatoa huduma. zahanati hizo ni Narunyu na nandambi. Pia kuna zahanati mbili zipo katika hatua za mwisho za umaliziaji zahanati hizo ni tandangogoro na Mkanga.

MIRADI YA MAENDELEO

MRADI MGHARAMIAJI HATUA ILIYOPO
Mradi wa maji Nandambi Serikali -Ujenzi wa tenki umekamilika
-Vituo vya kuchotea maji umekamilika
Mradi wa maji mtaa wa Nanyuru, Msikitini, Zahanati, Zawiani, Muungano na Tandangongoro Serikali -Vituo 16 vya kuchotea maji vimekamilika
-Tanki limekamilika
-Ulazaji wa mabomba unaendelea
Uenzi wa zahanati Tandangongoro  Serikali Upo katika hatua ya mwisho ya ujenzi 
Ofisi ya mtaa muungano Serikali Bomba limekamilka


USAJILI WA WATOTO NA UGAWAJI VYETI KWA WATOTO WALIOPO CHINI YA MIAKA MITANO

Kata ya Tandangongoro ni miongoni mwa kata za Halmashauri ya Manispaa ya Lindi iliyoanza kusajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa bila malipo kuanzia tarehe 26/09/2017 katika vituo vifuatavyo;

-Zahanati ya Narunyu

-Zahanati ya Nandambi

-Ofisi ya kata Tandangongoro

WATOTO WALIOSAJILIWA NA KUPEWA VYETI VYA KUZALIWA

WALIOSAJILIWA NA KUPEWA VYETI

WANAUME WANAWAKE JUMLA TAARIFA ZILIZOINGIZWA KWENYE MFUMO WA SIMU
9 5 13 -


CHANGAMOTO

Changamoto zinazoikumba kata ya Tandangongoro ni wanyama waharibifu aina ya Ndovu, kuvamia mashamba ya wakulima na kula mazao ya Mihogo, Maboga, Mahindi na kuharibu mikorosho pia.

UTATUZI WA CHANGAMOTO 

Yupo Afisa wanyamapori alioingia mkataba na Halmashauri, hivyo wakijitokeza anawafukuza.

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • SPORTS DEVELOPMENT AID YAKABIDHI MIPIRA 585 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 35 MKOA WA LINDI.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI AWAPONGEZA WAKAZI WA MANISPAA YA LINDI KWA KUJITOKEZA KWENYE MAZOEZI YA MUUNGANO DAY.

    April 26, 2025
  • WATUMISHI MANISPAA YA LINDI WAJENGEWA UELEWA JUU YA MASUALA YA RUSHWA.

    April 08, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa