Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi Juma Ally Mnwele anawatangazia wananchi wote kuwa tarehe 29/12/2021 kutakuwa na mnada wa uuzaji wa mali chakavu utakaofanyika katika karakana ya ujenzi Halmashauri ya Manispaa ya Lindi iliyopo barabara kuu karibu na Ofisi za Wakala wa Ununuzi Serikalini (GPSA).
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255717469888
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa