• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Municipal Council
Lindi Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Idara ya Elimu ya Awali na Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu ya Sekondari
      • Idara ya Mipango na Uratibu
      • Idara ya Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Biashara,Viwanda na Uwekezaji
      • Idara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi na Maendeleo ya Miundombinu Vijijini na Mjini
      • Idara ya Maendeleo ya jamii
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
  • Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
    • Mtandao wa Barabara
    • Maliasili
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba za vikao
    • Ratiba ya kuonana na Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Joining instructions forms
  • E-Learning
    • past papers
    • Notes

uzoaji wa taka

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi anapenda kuwataarifu juu ya utaratibu wa ukusanyaji wa taka katika maeneo ya Manispaa.

Ni jukumu la kila mwananchi ambae ni mzalishaji wa taka kuhakikisha kuwa taka zinakusanywa kwa utaratibu ulioweka na Manispaa ambao ni kila mtaa kuwa na kikundi cha kukusanya taka toka nyumbani/chanzo hadi dampo lililopo Machole ambapo mzalishaji taka atapaswa kuchangia tozo ya uzoaji taka.

Serikali ya mtaa kupitia vikao na wananchi watachagua kikundi ambacho kitahusika na ukusanyaji wa taka katika mtaa husika. Lengo ni kuhakikisha mazingira yanakuwa safi wakati wote kwa kiwango kinachoridhisha.

Aidha kila mwananchi anatakiwa awe na chombo kinachokidhi kuhifadhi taka kwa siku zisizopungua saba.

Viwango vya ulipaji wa huduma ya uzoaji taka vitazingatia sheria ndogo za hifadhi ya mazingira za Halmashauri ya Manispaa ya Lindi za mwaka 2016

 

ADA YA KUZOA TAKA

NA.
MLIPAJI
ADA
1.
Kaya
2,000/=
2.
Nyumba za kulala Wageni
Vyumba chini ya 10
Vyumba zaidi ya 10 na si zaidi ya 15
Vyumba zaidi ya 5 inayotoa huduma ya chakula
Vyumba zaidi ya vitano inatoa huduma ya chakula na vinywaji vikali
6,000/=
10,000/=
20,000/=
30,000/=
3.
Baa
15,000/=
4.
Mgahawa
25,000/=
5.
Duka la Jumla
10,000/=
6.
Duka la Kawaida
5,000/=
7.
Salon za Kiume/Kike
5,000/=
8.
Ofisi za Taasisi
10,000/=
9.
Gengeni (Baba/Mama lishe)
2,000/=
10.
Viwanda vya Useremala
10,000/=
11.
Gereji
30,000/=


Kihanza B J

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi

Matangazo

  • THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN LINDI MUNICIPALITY UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • KUONGEZA KWA MUDA WA RUFAA November 13, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA October 31, 2024
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI WA MANISPAA YA LINDI ASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI (TACTIC)

    June 26, 2025
  • MANISPAA YA LINDI YAPONGEZWA KWA KUPATA YAPATA HATI SAFI YA UKAGUZI.

    June 18, 2025
  • MANISPAA YA LINDI YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

    June 14, 2025
  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UANDIKISHAJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI.

    May 17, 2025
  • Ona Yote

Video

NENO LA DC MWANZIVA KWENYE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HALMASHAURI YA MANISPAA LINDI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni
  • sheria mbalimbali
  • Ratiba za vikao
  • Orodha ya Madiwani
  • Mikakati ya Halmashauri
  • Historia ya Manispaa ya Lindi
  • Miradi inayoendelea
  • Mfumo wa Vibali vya Safari Nje ya Nchi

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • OR - TAMISEMI
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa

    Anuani ya Posta: 1070 Lindi

    Simu: +255232202164

    Simu ya mkononi: +255717469888

    Barua Pepe: info@lindimc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Vigezo na Masharti
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa