Mkurugenziwa Hatmashauriya Manispaa ya Lindi, anapenda kuvitangazia vikundivyote vya Wajasiriamali vilivyopo ndani ya Manispaa ya Lindi, Ofisi yake imeanzakupokea maombi mapya ya mikopo inayotokana na asilimia kumi ya mapato yandani ya Halmashauri. Mikopo hii itatolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana naWatu Wenye Ulemavu vitakavyokidhi sifa zilizoainishwa hapa chini
.SIFA ZA VIKUNDI VITAKAVYOOMBA MKOPO NI PAMOJA NA
;1) Kikundi kiwe kimetambuliwa kama kikundi cha Wanawake, Vijana au Watuwenye Ulemavu na kupewa cheti cha Utambuzi na Halmashauri ya Manispaaya Lindi
2) Kikundi kiwe kinajishughulisha na Ujasiriamali au kinakusudia kuanzishashughuli za ujasiriamali mdogo au wa kati.
3) Kwa vikundi vya Wanawake au Vijana idadi ya wanakikundi ianzie 10 nakuendelea na kwa vikundi vya Watu wenye ulemavu idadi iwe kuanzia watu 5na isizidi 10.
4) Kikundi kiwe kina akaunti ya benki iliyofunguliwa kwa jina la kikundi kwa ajiliya matumizi ya kikundi
5) Wanakikundi wawe ni raia wa Tanzania wenye akili timamu na umri kuanziamiaka 18 na kuendelea
6) Kikundi kisiwe na wajumbe wenye ajira rasmi.
zaidi soma hapa mikopo.pdf
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255767042958
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa