Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Lindi Mjini na Jimbo la Mchinga, anawatangazia wale wote waliochaguliwa katika nafasi za wasimamizi wakuu, wasimamizi wasaidizi na makarani kuhudhuria kwenye semina ya uchaguzi mkuu itakayofanyika tarehe 24 oktoba kwa makarani, na tarehe 25 - 26 oktoba kwa wasimamizi wakuu na wasimamizi wasaidizi kuanzia saa mbili asubuhi katika kumbi za KAGGWA, WAMA SEKONDARI NA NANEANE(NGONGO). Kwa orodha ya Majina, Kumbi pamoja na tarehe za semina bofya hapo chini:
WASIMAMIZI WAKUU NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO - MAFUNZO YA UCHAGUZI - UKUMBI WA KAGWA
WASIMAMIZI WAKUU NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO - MAFUNZO YA UCHAGUZI - UKUMBI WA WAMA SEKONDARI
Municipal Director
Anuani ya Posta: 1070 Lindi
Simu: +255232202164
Simu ya mkononi: +255767042958
Barua Pepe: info@lindimc.go.tz
Hakimiliki @2020 Manispaa ya Lindi. Haki zote zimehifadhiwa